Ndoa ya Flaviana Matata

Ndoa ya Flaviana Matata

Nawatakia kila la kheri. Hi thread imeingiliwa na mashambenga na manunga embe ambao hawatasikia ndoa daima.

Kila kheri dada flavy

Mkuu umeona yan kuna wanawake wanaroho za kichawi..washaanza umbea
 
Flavi matata got married today Yeeeeah. .congrats, Qn though who is this lucky B**d?��������...

Najua Wengi walimtolea macho mrembo Huyu he went home winning. So wenye data zake leteni tafadhali au ndo msemo wa Drake #"Shout out to my boss bitches wifing niggas"

I hope huyu mangi si mpenda mteremko
..
 
Natalia, tarehe moja inakaribia basi hata kwa inbox tu, watu hawapendi kabisa umbeya, Na yet utawakuta humu wanaperuzi...
 
Last edited by a moderator:
evecollections ndo mpango mzima...kuanzia yeye na vile vtoto yaan ilikua super..teh wengine wanakimbilia kumimbwaa hehee na ndoa bado hawazioni..mwee tumpe sifa zake bintii matata ndoa bahat..siunaona mama tok show kaangukia pua kwa chief kiumbe...holaaaa😀😀

Mbona naona Martin kasema swala zima la uvaaji ni kazi ya mikono yake,

Wamependeza.. Flavy yuko simple and glamorous
 
Back
Top Bottom