Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Wenye Akili Ni Wangapi VileYanga watakuwa waduanzi kama wakifukuza kocha wakati huu...
Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.
Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee
Hili ndio chanzo cha Anguko Kuu la Yanga Pole sana kwao.
Fake stories for foolsWakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.
Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee
Hili ndio chanzo cha Anguko Kuu la Yanga Pole sana kwao.
Kumbe mnamuigopa sana Gamond na mnatamani aondokeWakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.
Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee
Hili ndio chanzo cha Anguko Kuu la Yanga Pole sana kwao.
Ulijificha wapi?Zile goli 5 bado mnaweweseka mpaka leo? hamjapona maumivu bado?