Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

Hizi huenda ni propaganda tu au maigizo ya uto maana wanayapenda ila Kama wamemuondoa tusubiri watatoa tangazo rasmi.

Binafsi sioni tatizo kubwa la kiwango cha kumuondoa Gamondi, labda iwe mihemko, ufinyu wa bajeti au mlipuko wa kichaa cha vyura.
 
Back
Top Bottom