Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

Endeleni kuzusha hivi vipindi vinapita na itafika zamu yenu, yaani mtu hasiburudike kisa timu yake imepigwa. Uzuri Hersi si mtu wa mihemko, angekuwa mtu wa mihemko angemtimia Nabi kipindi kile alivyokuwa akipewa shinikizo baada ya Yanga kutolewa Championship na Wasudan.
Hasiburudike= Asiburudike
 
Asubuhi yake kweli biography ya Gamondi kwenye page yake ya Instagram ikawa imeomdolewa ule utambulisho unaoonesha kuwa yeye ni kocha wa Yanga.
Mpaka Sasa hivi biography yake haimsomi kama kocha wa Uto...
 
Hamna kocha pale hana akili ya kitengeneza wachezaj wake ila anatembelea upepo wa nabi,na hapo bado mda utaongea
 
Endeleni kuzusha hivi vipindi vinapita na itafika zamu yenu, yaani mtu hasiburudike kisa timu yake imepigwa. Uzuri Hersi si mtu wa mihemko, angekuwa mtu wa mihemko angemtimia Nabi kipindi kile alivyokuwa akipewa shinikizo baada ya Yanga kutolewa Championship na Wasudan.
Sawa mateja fc..
 
Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.

Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee

Hili ndio chanzo cha Anguko Kuu la Yanga Pole sana kwao.
Kuondoka kwa Gamondi hakuwezi kuwa anguko la Yanga. Nabi na mayele waliondoka mlisema Yanga kwisha.
Mpaka mtu anaondoka huenda kuna mengi yanahusika. Ila ni kocha mzuri.
 
Back
Top Bottom