Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

Iwe kweli au uongo
Huu ni wakati wa mapumziko
Au ni kocha wa timu ghani ya TAIFA?
 
Gamond Mpaka aondoke mwenyewe kama Nabi, malengo ya Yanga ni kufanya vizuri CAF.

By the way sikujificha, nilifichwa, ukiwa na kibunda muda wa kuingia JF unaupata wapi?
Inaonekana kipigo kilikufanya upishane na habari nyingi ambazo zilijiri hapo katikati.

Timu yako baada ya kichapo ilimuita Gamondi saa 7 za manane wajadili mwenendo wa timu.

Gamondi akapuuza wito huo akihofia usalama wake kwasababu wao walikuwa kundi wakati yeye yupo solo.

Kitendo hicho kilitafsiriwa kama ni dharau dhidi ya waajiri wake na hivyo wakaazimia kumtimua moja kwa moja.

Asubuhi yake kweli biography ya Gamondi kwenye page yake ya Instagram ikawa imeomdolewa ule utambulisho unaoonesha kuwa yeye ni kocha wa Yanga.
 
Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.

Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee

Hili ndio chanzo cha Anguko Kuu la Yanga Pole sana kwao.
Kwaiyo akionekana mwanza ndio kaacha kazi? Watu wote wanaoonekana mwanza wameacha kazi kwa waajiri wao,,,Rage apewe heshima yake aisee!
 
Makolo waliko.
JamiiForums-789999666.jpg
 
Inaonekana kipigo kilikufanya upishane na habari nyingi ambazo zilijiri hapo katikati.

Timu yako baada ya kichapo ilimuita Gamondi saa 7 za manane wajadili mwenendo wa timu.

Gamondi akapuuza wito huo akihofia usalama wake kwasababu wao walikuwa kundi wakati yeye yupo solo.

Kitendo hicho kilitafsiriwa kama ni dharau dhidi ya waajiri wake na hivyo wakaazimia kumtimua moja kwa moja.

Asubuhi yake kweli biography ya Gamondi kwenye page yake ya Instagram ikawa imeomdolewa ule utambulisho unaoonesha kuwa yeye ni kocha wa Yanga.
Hadithi tu hizo, GSM akimuita Gamond kwa nini asiende?
 
Propaganda kwasasa ndio mwake...ni kipindi cha likizo wachezaji na bench la ufundi wanakuwa na outing zao binafsi..Gamond hatakaa yanga miaka yote..ikitokea akaondoka basi ni kama kawaida ya makocha..itakuwa story kubwa ikiwa kuna watu walitamani afukuzwe.
 
Kuna clip inaonesha mashabiki zao wanamuomba Mungu awashushie malaika wacheze nao.
Naona mungu kawajibu.mechi 2 bao 4.
 
Mods acheni ujinga, mada za uongo kuhusu YANGA mnaziacha ila za simba mnaziondoa chap, acheni tabia hiyo futeni uzi huu la sivyo ntawashushia mvua ya matusi.
 
Back
Top Bottom