Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Gamond Mpaka aondoke mwenyewe kama Nabi, malengo ya Yanga ni kufanya vizuri CAF.Ulijificha wapi?
Waite na wenzio waambie tumesahau
Na Wewe unaamini hizi pumba? Kuna team duniani inaweza kumuacha kocha mwenye record kama za Gamond?Mpira wa Tanzania ni wa ajabu
Kwa hio kocha akipoteza mechi 2 tayari hafai?anafukuzwa
Mnataka ashinde kila mechi kwani timu zingine ni midoli
Hata mimi nashangaaaMpira wa Tanzania ni wa ajabu
Kwa hio kocha akipoteza mechi 2 tayari hafai?anafukuzwa
Mnataka ashinde kila mechi kwani timu zingine ni midoli
Inaonekana kipigo kilikufanya upishane na habari nyingi ambazo zilijiri hapo katikati.Gamond Mpaka aondoke mwenyewe kama Nabi, malengo ya Yanga ni kufanya vizuri CAF.
By the way sikujificha, nilifichwa, ukiwa na kibunda muda wa kuingia JF unaupata wapi?
Kwaiyo akionekana mwanza ndio kaacha kazi? Watu wote wanaoonekana mwanza wameacha kazi kwa waajiri wao,,,Rage apewe heshima yake aisee!Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi.
Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee
Hili ndio chanzo cha Anguko Kuu la Yanga Pole sana kwao.
AmenIwe kwli
Hadithi tu hizo, GSM akimuita Gamond kwa nini asiende?Inaonekana kipigo kilikufanya upishane na habari nyingi ambazo zilijiri hapo katikati.
Timu yako baada ya kichapo ilimuita Gamondi saa 7 za manane wajadili mwenendo wa timu.
Gamondi akapuuza wito huo akihofia usalama wake kwasababu wao walikuwa kundi wakati yeye yupo solo.
Kitendo hicho kilitafsiriwa kama ni dharau dhidi ya waajiri wake na hivyo wakaazimia kumtimua moja kwa moja.
Asubuhi yake kweli biography ya Gamondi kwenye page yake ya Instagram ikawa imeomdolewa ule utambulisho unaoonesha kuwa yeye ni kocha wa Yanga.
Anamuita akiwa na reaction gani? hicho ndio kitu ambacho unapaswa ukifikirie.Hadithi tu hizo, GSM akimuita Gamond kwa nini asiende?
Kwa kweliFake stories for fools