Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

Hasiburudike= Asiburudike
 
Asubuhi yake kweli biography ya Gamondi kwenye page yake ya Instagram ikawa imeomdolewa ule utambulisho unaoonesha kuwa yeye ni kocha wa Yanga.
Mpaka Sasa hivi biography yake haimsomi kama kocha wa Uto...
 
Mods acheni ujinga, mada za uongo kuhusu YANGA mnaziacha ila za simba mnaziondoa chap, acheni tabia hiyo futeni uzi huu la sivyo ntawashushia mvua ya matusi.
Mzee amka...kimenuka Huko Utopoloni...
 
Hamna kocha pale hana akili ya kitengeneza wachezaj wake ila anatembelea upepo wa nabi,na hapo bado mda utaongea
 
Sawa mateja fc..
 
Kuondoka kwa Gamondi hakuwezi kuwa anguko la Yanga. Nabi na mayele waliondoka mlisema Yanga kwisha.
Mpaka mtu anaondoka huenda kuna mengi yanahusika. Ila ni kocha mzuri.
 
Nimeona mtu kama Kocha Gamond hapa Mwanza, na hii inakuja baada ya Taarifa kudai kwamba huenda amechana na Yanga. Anayefahamu vizuri atujuze.
Aje mwanza kufanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…