Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

Mmmmh kama una presha apo unaweza badilika jina ukaitwa marehemj. Show off zataka moyo. Mm mume wangu nmempost moyoni maana unaweza kuta kamchepuko kake kamekufolo anakulamba kisogo
Ashakuwa mume shida nn?
Kabla hapo kweli sio issue
 
Km hajaolewa ss arudi,maana mke ashafariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…