Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Kama hakuna upendo, ni kazi bure kuwarudisha wazazi kukaa pamoja. Mapenzi na upendo ukiisha ,mke na mume kuishi pamoja ni mtihani.Unachosema si sahihi! Hujaona ndoa ambazo wazazi waliachana wakiwa wadogo lakini wakikua wanajitahidi kuwarudisha ili waishi wote baba na mama? Raha ya watoto ni baba na mama kuishi katika nyumba moja
Wengi pasua vichwaUnahisi shida kuoa kaskazini?
Unasema tu lakini kuna point inafikia wanandoa hawatakiwa kukaa pamoja. Juzijuzi kuna ndoa ya ndugu yangu imevunjika. Yaani wale wanapigana hadharani na kuumizana. Mke kanywa sumu na alitaka amuuwe na mume pia. Sasa ndoa kama hiyo ya kazi gani. Tumezika ndugu yetu kawekewa sumu na mwanamke kwenye chakula. Mke yuko jela wameacha watoto peke yao.Unachosema si sahihi! Hujaona ndoa ambazo wazazi waliachana wakiwa wadogo lakini wakikua wanajitahidi kuwarudisha ili waishi wote baba na mama? Raha ya watoto ni baba na mama kuishi katika nyumba moja
Kuachika ni mustAnaachika freshi tu🤣 asijione mwamba wa Lusaka
😄😄😄😄😄😄 Unaweza tamani usihusiane ila nyege hazina huruma.Mahusiano magumu sana
Rich kajiengua😁 ukiangalia wote pale utagundua Wolper ndiye alimuhitaji Rich kuliko vice versa ila Rich dam changa. Ana msururu wa Slay queen wanataka kutembezewa mkoyongo.Sijaielewa vizuri,
Rich ndo kaamua kuachia GURUDUMU
Au wolper ndo kaamua kuachia GURUDUMU 🤔
Wote ni pasua kichwa tu mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu tuWengi pasua vichwa
Wewe ni KE au MEKama hakuna upendo, ni kazi bure kuwarudisha wazazi kukaa pamoja. Mapenzi na upendo ukiisha ,mke na mume kuishi pamoja ni mtihani.
Msagaji haolewi!Mtihani sana.
Hatari......Msagaji haolewi!
Sio slay kwins tu .. na wanaume wenzie.Rich kajiengua😁 ukiangalia wote pale utagundua Wolper ndiye alimuhitaji Rich kuliko vice versa ila Rich dam changa. Ana msururu wa Slay queen wanataka kutembezewa mkoyongo.
Kama Rich anavyokulana na waume wenzie?Atarudia Kusagana?
Tupee za ndaniNilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu.
Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.
Mkuu uliona game yetu na liverpool achana na matokeo,.ulicheki game yenyewe?Nilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu.
Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.