I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 804
- 1,362
Pole wewe... Au na wewe ni Celebrity!!🫢🫣🤔Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole wewe... Au na wewe ni Celebrity!!🫢🫣🤔Pole sana
Ubarikiwe kwa neno lako la busara.hata mimi nimejifunza mambo mengi sana kwa kuangalia tu nilipotoka, nilipo na ninapokwenda. Mpaka sasa, nimejifunza kwamba binadamu hana kitu kinachoitwa rafiki wakati wa taabu, na baada ya kulitambua hilo, limenisaidia kuwa at peace with myself. Nguvu zangu na jitahada zangu na kutokata tamaa wakati wa msoto ndio funzo jingine kimaisha. Mshirikishe Mungu ktk taabu zako na raha pia, yumo ndani yako na unatembea naye kila sekunde, hilo nalo pia nimejifunza baada ya kuyajibu maombi yangu lukuki kama ukiyasoma mabandiko yangu humu ndani- utaona shuhuda nilizotoa...
Asante ndugu na wewe pia ubarikiwe maradufu, Mungu akujalie katika matamanio yako. AMEN.Ubarikiwe kwa neno lako la busara.
Kanisa halivunji ndo maana wengi wanakimbilia mahakaniSikuhiz zinavunjika et jamni
I hate itnakuombea iwe hivu kwa kweli, hizi habari za kukimbia kimbia sio nzuri kabisa, watoto wanahangaishwa sana, kisa tu hizi habari za kinyama ugomvi na kutandaza miguu. Hizi habari za kuachana zilinifanya niwachukie sana wazazi wangu hadi sasa, kwa kosa hilo tu la kunileta duniani na kutuacha kama kuku free range.
Wolper sio wife material. Case closedOne thing celebs wetu wanafeli NI kukeep low-profile na kupenda sana harusi kuliko ndoa
Rich sio husband material case tight.Wolper sio wife material. Case closed
Inasemekana wamerudianaView attachment 3193375Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi.
NB: Je atarudia FANTASY ya Zamani kama Shishi?
Source: Wolper mwenyewe
BCC: kataa ndoa
View attachment 3193318
Ni kweli wamerudiana??? Tupe infos dada etu nifaNilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu.
Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.
Naona maigizo tu mapicha picha mengi, hadi nifuatilie.Ni kweli wamerudiana??? Tupe infos dada etu nifa
Nakubali sana dada angu nifa...utatupatia mrejesho wengine hatupo mjini tupo msata [emoji3][emoji3][emoji3]Naona maigizo tu mapicha picha mengi, hadi nifuatilie.
HahahaView attachment 3193375Ile NDOA iliyosimamisha internet. Imevunjika rasmi.
NB: Je atarudia FANTASY ya Zamani kama Shishi?
Source: Wolper mwenyewe
BCC: kataa ndoa
View attachment 3193318