Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

hata mimi nimejifunza mambo mengi sana kwa kuangalia tu nilipotoka, nilipo na ninapokwenda. Mpaka sasa, nimejifunza kwamba binadamu hana kitu kinachoitwa rafiki wakati wa taabu, na baada ya kulitambua hilo, limenisaidia kuwa at peace with myself. Nguvu zangu na jitahada zangu na kutokata tamaa wakati wa msoto ndio funzo jingine kimaisha. Mshirikishe Mungu ktk taabu zako na raha pia, yumo ndani yako na unatembea naye kila sekunde, hilo nalo pia nimejifunza baada ya kuyajibu maombi yangu lukuki kama ukiyasoma mabandiko yangu humu ndani- utaona shuhuda nilizotoa...
Ubarikiwe kwa neno lako la busara.
 
nakuombea iwe hivu kwa kweli, hizi habari za kukimbia kimbia sio nzuri kabisa, watoto wanahangaishwa sana, kisa tu hizi habari za kinyama ugomvi na kutandaza miguu. Hizi habari za kuachana zilinifanya niwachukie sana wazazi wangu hadi sasa, kwa kosa hilo tu la kunileta duniani na kutuacha kama kuku free range.
I hate it
Mungu Anisidie tu
 
Nilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu.

Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.
Ni kweli wamerudiana??? Tupe infos dada etu nifa
 
Back
Top Bottom