Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hata me nimeiona tusubiri kwa hamu tusikie... na IG kuna mtu alimuuliza mbona anaweka picha za watu tofauti tu ya mumewe haweki.
Na hii ishu ya mumewe kwenda mahakamani leo na kibonde vipi yeye alienda? Au kama Flora Mbasha.
Ni vigumu sana kwa jide kuzaa, kwani ana maagano makuu. Aliwahi kwenda ziwa victoria, na katikati ya ziwa hilo akazama ndani ya bahari na kupasua yai, hivyo mateso yake ni kutoshika mimba kamwe mpaka kifo.
Hata me nimeiona tusubiri kwa hamu tusikie... na IG kuna mtu alimuuliza mbona anaweka picha za watu tofauti tu ya mumewe haweki.
Na hii ishu ya mumewe kwenda mahakamani leo na kibonde vipi yeye alienda? Au kama Flora Mbasha.
gadna akienda mahakama ya kinondoni na kibonde. kumbe kaachika ndo anajirudisha clouds taratibu ili asaidie mashambulizi dhidi ya bibie.
cc: TATIANA
Gardner zile raba zake wakati anaenda mahakamani zilikua chafuuu.....
Hata me nimeiona tusubiri kwa hamu tusikie... na IG kuna mtu alimuuliza mbona anaweka picha za watu tofauti tu ya mumewe haweki.
Na hii ishu ya mumewe kwenda mahakamani leo na kibonde vipi yeye alienda? Au kama Flora Mbasha.
Kibonde na Gadner ni washikaji sana hata bifu la Jide na Clouds media lilivyokolea hawa jamaa nje ya ofisi mara nyingi walikua wana hang out pamoja,na inasemekana siku ya tukio la ajali walikua pamoja ila Kibonde ndio alikua dereva ila wote walikua kikombe hivyo kua pamoja mahakamani ni ishu zao nje ya habari za Jide.

adui wa mkeo ni adui yako tu mkuu hapo jamaa alikua anataka kurudi. maana hata ruge akienda kumtoa kibonde akamkuta gadna atamwacha
Usiache kuniitaa shoga unihabarisheeeee
Ishu ya ushkaji kibonde na Gadner inajulikana ni marafiki tu japo kikazi wamegombana.
Me nilikuwa na sema Jide kwann hakwenda Mahakamani kwa mumewe au kamsusa kama mbasha.
Jide anavyo jifanya mweusi hawezi kwenda mahakamani haaaahaa lazima akaushe tena kuna Kibonde uyu dada ki-ukweli ana kiburi na majivuno pia mfn ishu ya show yake ile mpaka leo Linnah na Barnaba hana muda nao ila Gadner aliwamaindi yakaisha sasa ivi yuko nao poa.
Kwakweli Mkuu King Kong III umenifurahisha sana kwa hili song. Limeleta maana halisi. Kwahiyo vijana "They are busy looking for Old women to marry" Sasa wanaendekeza michepuko ya rika lao..... Hahahaha.....Mario Mtunza bustani amerudi kwao.
qn of sheba yeap umenena vyema tena kwenye hii thread mimi nimehoji Gadner kuitwa marioo wakati kwenye uhalisia Jide akiwa chini ya u-meneja wa mumewe kafanya vitu vingi tofauti alivyokua smooth vibes jamaa amesimamia events nyingi sana kwa mafanikio na amewahi kuji-sacrifies for the sake of mkewe kwa connection za Gadner mimi nitakua mtu wa mwisho kumuita marioo na kuamini anaweza akashindwa maisha hapa mjini,kama ulivyosema kwenye hizi awards Gadner anaziba sana gap kati ya mkewe na mashabiki angalau kwa kuhudhuria na kushukuru.
Gadner marioo? mnachekesha sana...Simuoni Jide bila ya gadner....Gadner kichwa kile kaamua tu kuwa jalala kwa ajili ya mkewe.