Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Hata me nimeiona tusubiri kwa hamu tusikie... na IG kuna mtu alimuuliza mbona anaweka picha za watu tofauti tu ya mumewe haweki.

Na hii ishu ya mumewe kwenda mahakamani leo na kibonde vipi yeye alienda? Au kama Flora Mbasha.

Wangekuwa bado wapo wote, angemsindikiza tu mahusat wake. But kwa kuwa wameachana na jide alivyo mtata, hatomsindikiza mahakamani kabisa. Hawezi kujishusha
 
Ziwa victoria alienda na nani?????

Ni vigumu sana kwa jide kuzaa, kwani ana maagano makuu. Aliwahi kwenda ziwa victoria, na katikati ya ziwa hilo akazama ndani ya bahari na kupasua yai, hivyo mateso yake ni kutoshika mimba kamwe mpaka kifo.
 
Hata me nimeiona tusubiri kwa hamu tusikie... na IG kuna mtu alimuuliza mbona anaweka picha za watu tofauti tu ya mumewe haweki.

Na hii ishu ya mumewe kwenda mahakamani leo na kibonde vipi yeye alienda? Au kama Flora Mbasha.

gadna akienda mahakama ya kinondoni na kibonde. kumbe kaachika ndo anajirudisha clouds taratibu ili asaidie mashambulizi dhidi ya bibie.
cc: TATIANA

Kibonde na Gadner ni washikaji sana hata bifu la Jide na Clouds media lilivyokolea hawa jamaa nje ya ofisi mara nyingi walikua wana hang out pamoja,na inasemekana siku ya tukio la ajali walikua pamoja ila Kibonde ndio alikua dereva ila wote walikua kikombe hivyo kua pamoja mahakamani ni ishu zao nje ya habari za Jide.
 
Last edited by a moderator:
Hata me nimeiona tusubiri kwa hamu tusikie... na IG kuna mtu alimuuliza mbona anaweka picha za watu tofauti tu ya mumewe haweki.

Na hii ishu ya mumewe kwenda mahakamani leo na kibonde vipi yeye alienda? Au kama Flora Mbasha.

Usiache kuniitaa shoga unihabarisheeeee
 
Kibonde na Gadner ni washikaji sana hata bifu la Jide na Clouds media lilivyokolea hawa jamaa nje ya ofisi mara nyingi walikua wana hang out pamoja,na inasemekana siku ya tukio la ajali walikua pamoja ila Kibonde ndio alikua dereva ila wote walikua kikombe hivyo kua pamoja mahakamani ni ishu zao nje ya habari za Jide.

adui wa mkeo ni adui yako tu mkuu hapo jamaa alikua anataka kurudi. maana hata ruge akienda kumtoa kibonde akamkuta gadna atamwacha
 
Ishu ya ushkaji kibonde na Gadner inajulikana ni marafiki tu japo kikazi wamegombana.
Me nilikuwa na sema Jide kwann hakwenda Mahakamani kwa mumewe au kamsusa kama mbasha.
 
Si wakati wote mkuu ni kweli kibonde na gdner bado ni maswahiba na wana hang pamoja na kwenye ajali walikuwa wote.

Hata Kipanya kugukuzwa clouds haimaanishi ana beef na watangazaji wapsle ndio maana bado ni marafiki.

Hata Sugu alikuwa kinega lakini mzazi mwenza Faiza alikuwa anaenda clouds, japo sasa wameachana kwa sababu zilizo nje ya clouds.
 
Ishu ya ushkaji kibonde na Gadner inajulikana ni marafiki tu japo kikazi wamegombana.
Me nilikuwa na sema Jide kwann hakwenda Mahakamani kwa mumewe au kamsusa kama mbasha.

Jide anavyo jifanya mweusi hawezi kwenda mahakamani haaaahaa lazima akaushe tena kuna Kibonde uyu dada ki-ukweli ana kiburi na majivuno pia mfn ishu ya show yake ile mpaka leo Linnah na Barnaba hana muda nao ila Gadner aliwamaindi yakaisha sasa ivi yuko nao poa.
 
Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja wengi husema Jide yupo pale alipo kwa juhudi za Gadner pia japo watabisha watu.. jide ni kiburi na mgumu kusamehe na ni mtu wa kinyongo Gadner charming ndio maana ana connections nyingi.
Nilishuhudia kwenye Diary ile ishu ya Mwinyi kurudi machozi band baada ya kuomba msamaha, jide alikataa katakata kumsamehe hata kijana alipoombewa msamaha na mama yake wapii jide kagoma. Gadner aliwasamehe na Jide akasema wamesamehewa na G ila sio yeye.. hahaa nilichoka.

Muhimu kama nikweli wameachana basi atafute manager mzuri kama mumewe otherwise kile kiburi na dharau watu watamshit tu. Huoni hata tuzo za kili mumewe ndio anabbeleza mashabiki kwa kwenda kumchukulia tuzo mkewe mwenyewe haendi.
 
qn of sheba yeap umenena vyema tena kwenye hii thread mimi nimehoji Gadner kuitwa marioo wakati kwenye uhalisia Jide akiwa chini ya u-meneja wa mumewe kafanya vitu vingi tofauti alivyokua smooth vibes jamaa amesimamia events nyingi sana kwa mafanikio na amewahi kuji-sacrifies for the sake of mkewe kwa connection za Gadner mimi nitakua mtu wa mwisho kumuita marioo na kuamini anaweza akashindwa maisha hapa mjini,kama ulivyosema kwenye hizi awards Gadner anaziba sana gap kati ya mkewe na mashabiki angalau kwa kuhudhuria na kushukuru.
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli Mkuu King Kong III umenifurahisha sana kwa hili song. Limeleta maana halisi. Kwahiyo vijana "They are busy looking for Old women to marry" Sasa wanaendekeza michepuko ya rika lao..... Hahahaha.....Mario Mtunza bustani amerudi kwao.

Sasa Mtali ya nini ku quote post yooote hyo jamaniii

Ungemention aliepost ingetosha bana
 
Last edited by a moderator:
qn of sheba yeap umenena vyema tena kwenye hii thread mimi nimehoji Gadner kuitwa marioo wakati kwenye uhalisia Jide akiwa chini ya u-meneja wa mumewe kafanya vitu vingi tofauti alivyokua smooth vibes jamaa amesimamia events nyingi sana kwa mafanikio na amewahi kuji-sacrifies for the sake of mkewe kwa connection za Gadner mimi nitakua mtu wa mwisho kumuita marioo na kuamini anaweza akashindwa maisha hapa mjini,kama ulivyosema kwenye hizi awards Gadner anaziba sana gap kati ya mkewe na mashabiki angalau kwa kuhudhuria na kushukuru.

True tunasema kishabiki hata Gadner kutoka clouds ni for the seek of Jide... pamoja na yote watu wajue G ndio muandaaji na kama promota wake na hiyo Machozi band yeye ndio anaisimamia.
 
Last edited by a moderator:
Gadner marioo? mnachekesha sana...Simuoni Jide bila ya gadner....Gadner kichwa kile kaamua tu kuwa jalala kwa ajili ya mkewe.
 
Mungu hawezi ---- kila kitu. Kapewa pesa acha vingine wapate wengine.
 
Duh...mkuu KING KONG hilo jisong la Mario, ngoja NIconfirm hiyo tafsiri yake na Nyoshi kwanza...
 
Gadner marioo? mnachekesha sana...Simuoni Jide bila ya gadner....Gadner kichwa kile kaamua tu kuwa jalala kwa ajili ya mkewe.

Kweli mkuu. Alafu eti useme G hampendi Jide kajitoa sana yule mpk kuacha kaz mjengoni kisa mkewe. Unaweza mpenda mkeo na bado ukachepuka hiyo kawaida haimaanishi mkeo mbaya au haumpendi.
 
Back
Top Bottom