Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hata me nimeiona tusubiri kwa hamu tusikie... na IG kuna mtu alimuuliza mbona anaweka picha za watu tofauti tu ya mumewe haweki.
Na hii ishu ya mumewe kwenda mahakamani leo na kibonde vipi yeye alienda? Au kama Flora Mbasha.
Wangekuwa bado wapo wote, angemsindikiza tu mahusat wake. But kwa kuwa wameachana na jide alivyo mtata, hatomsindikiza mahakamani kabisa. Hawezi kujishusha