Naona jide kaweka status fb, kuwa kuna kitu anataka akiongelee ingawa hajui fans watamuelewaje but anataka mkisikie kutoka kwake na sio kwa mtu mwingine. Stay tuned
Usijali naisubiri kwa hamu yani i wish hao followers 400k wafike haraka maana wapo 344k, nayeye kahaidi page yake ikifika likes laki 4 ndio atalipua bomu.
Hamna kitu, huyu mamie ni fundi wa kutafuta wachawi, KUblame wengine kwa matatizo yake...atakuja na habari za kumchafua G aonekane sio ili yeye abaki clean....aache ubandidu.
ngoja nkaongeze idadi asa hv
hapondo nikwaza ndoa! mmhh hatariiii
yule mkrya ni mbabe sana......yaani gadna atakuwa kavumilia mengi jamen.Kweli mkuu. Alafu eti useme G hampendi Jide kajitoa sana yule mpk kuacha kaz mjengoni kisa mkewe. Unaweza mpenda mkeo na bado ukachepuka hiyo kawaida haimaanishi mkeo mbaya au haumpendi.
Hamna kitu, huyu mamie ni fundi wa kutafuta wachawi, KUblame wengine kwa matatizo yake...atakuja na habari za kumchafua G aonekane sio ili yeye abaki clean....aache ubandidu.
yule mkrya ni mbabe sana......yaani gadna atakuwa kavumilia mengi jamen.
Nina wasiwasi na uraia wako.
Kwakweli Mkuu King Kong III umenifurahisha sana kwa hili song. Limeleta maana halisi. Kwahiyo vijana "They are busy looking for Old women to marry" Sasa wanaendekeza michepuko ya rika lao..... Hahahaha.....Mario Mtunza bustani amerudi kwao.
We hukumbuki alivyoimba wanaume kama mabinti enzi zile wameachana ukweli ni kuwa nyimbo za Jide 99% ni maisha yake binafsi, kama kipindi kile kabla ya ndoa alitoa album nadhani sasa atatoa double album.
Kweli mkuu. Alafu eti useme G hampendi Jide kajitoa sana yule mpk kuacha kaz mjengoni kisa mkewe. Unaweza mpenda mkeo na bado ukachepuka hiyo kawaida haimaanishi mkeo mbaya au haumpendi.
Gadner marioo? mnachekesha sana...Simuoni Jide bila ya gadner....Gadner kichwa kile kaamua tu kuwa jalala kwa ajili ya mkewe.
Daudi wakota ni mdananda tu! Wala hana hela yeyote, kaungaunga nauli akaenda na tid kampala kwenye tubonge show, akajitambulisha kwa chameleone kuwa yy ni fan mkubwa toka Tz na pia anafahamika sana kwenye bongo showbiz, ndo toka siku hiyo Jose kumfaham wakota na kumlipia ticket kurudi bongo, ni kijana tu! anaetafuta fursa wala sio hizo porojo zako unazoleta.
Hahaaa Daudi wa kota level nyingine siku hizi sio zama hizo,anafanya interview radio kibao,Chamilion alimtambulisha KTMA na sasa anazunguka kwenye show kibao ndani ya tz!
Kweli mkuu. Alafu eti useme G hampendi Jide kajitoa sana yule mpk kuacha kaz mjengoni kisa mkewe. Unaweza mpenda mkeo na bado ukachepuka hiyo kawaida haimaanishi mkeo mbaya au haumpendi.
yaani from. nowhere tu unaamua kuwa jalala...
there must be motives behind every move.
Hakuna kikubwa sana Gadner anachopata kwa Jide zaidi ya mapenzi tu....hivi Gadner bila Jide hawezi kumiliki gari? bila jide hawezi kujenga? bila jide hawezi kuwa na maisha mazuri?...kuna mtangazaji expensive kwa sasa bongo kumshinda Gadner? amekataa offer ngapi nzito kwa ajili ya kusimamia miradi yao? kuna kampuni gani ya promosheni itakataa kuwa na mtu kama gadner bongo hii? Ebu muulizeni kusaga uwezo wa uyu jamaa na mpaka kesho anamtaka........Acheni uswahili bwana G sio mnavyojaribu kumuweka au mlitaka awe analeta taharifa hiki nna mchango flani,kile nna mchango flani....Moja ya udhaifu wa Jide ni ubinafsi,ata akiongelea kitu ni changu sio vyetu,nyumba yangu,gari yangu,mgahawa wangu,mbwa wangu,kochi langu...na yeye hakosei ata akikosea umuombe msamaha.