Kio kwa kitugani kikubwa haswa? Somewhat Lady JD may kwavile anaimba, tusijenge mlima kwenye kichuguu jamani! Tatizo munawakuza mno kuliko uwezo wao, munawapa cheap popularity bure kabisa
Sasa Jide asijipe stress, atafute kabongofleva chake....na madongo wapenda mteremko wapo wengi tu standby...
Ila kabla hajakaribishwa ndani apewe masharti ya mkataba akae akijua kabisa...akiona simu ya Advocate inaita, anakuletea simu....mummy daddy anapiga....sio aanze kushuta hovyo kama kale kajamaa cha Shilole, almanusra kupigwa jiwe.
Kuna mawili, munafwatilia maisha ya ndoa zawatu wakati yako yenyewe yakushinda, au hujaoa kabisa. Munaweza sababisha wakaachana kweli, au mukasababisha usama na wasiwasi mpaka kuperekea kifo kama Diana vile mfanomzuri sana. Kwanza jamani hapa, tuna chekesha tu walimwengu. Nivema mungekua muna toa solution au ushauli nasaha kwa mambo kama haya. Tayari pana ushabiki aidha kwa pande zote mbili. Suruhu ni nini kama kwa kweli mnawapenda hao? Hamna hata mmoja alie toa way forward namna ya kuwa help hawa wawili waendelee kua kitu kimoja, japo nifununu tuu zisizo kua na uhakika kwa ndoa yao ipo hatarini.
Kwani Imma na Flora hawana mtoto mbona imewashinda
Mume wa mtu uko chakari mpaka saa kumi na mbili asubuhi, unatumia gari ya rafiki si ya familia,i can smell a rat!!
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu sana.
chanzo cha kuvunjika ndoa hiyo bado hakijajulikana moja moja kwa moja ila wawili hao wamekuwa katika migogoro kwa muda.. na si mara ya kwanza kutengana ila this time hali si shwari. yazidi kusemekana kaka Gardner kazidi michepuko amekua haibi tena anafanya bayana mpaka mwenye mali anajua anavyoibiwa.
kudhihirisha hayo katika ukurasa wake wa IG dada jide ameandika "Walking Away From Troubles" ambapo umbepuzi yakinifu waonesha
mambo si sawa hata kidogo.
Gardner kabla ya kumuoa Jide alikua tayari na mke halali wa ndoa na mtoto mmoja.
Geniveros, that how much u reason. Haya ndio matatizo ya wabongo kama wewe. Ushabiki tuu without reasoning. My swahiri is not perfect sawa, lakini jitambue na tambua kwamba, hata babu yako kiswahili yawezekana hajui vile ila anakua na msimamo wa hoja. Unaanza kutoka povu kisa ndoa za watu. Sidhani kama umeshaoa wewe. Lamsingi, musipende kukuza mambo nakuwapa watu umarufu bila sababu. Ningefurahiswa zaidi ungetoa suruhu kwenye hii tetesi. Kama huna basi acha ushabiki. Harafu ndugu, punguza viroba, sio chai