Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kio kwa kitugani kikubwa haswa? Somewhat Lady JD may kwavile anaimba, tusijenge mlima kwenye kichuguu jamani! Tatizo munawakuza mno kuliko uwezo wao, munawapa cheap popularity bure kabisa
huna lolote wewe
ndo tushawapa umaarufu sasa
we ulitaka tukudiscuss wewe huna nyimbo,huna mambo,
kilichokuleta huku nini?
umeitwa..?!!!
au hashuo za bata kunya hunyi!
km vp kwendraaaaaa!!!
kiswahili chenyewe hujui!
mkimbizi wewe!
operesheni safisha imekukosaje wewe...?!!!