geniveros Dinazarde Heaven on Earth TATIANA yani leo nimemkumbuka sana binamu warumi huko insta Team Wema wamemcharukia Dangote na kumsema ana mtumia wema vibaya kwa maslai yake binafsi... wema kawamind ila bado raia wanamsena afungue hata saloon kuliko kufanywa mcheza shoo wa Dangote.
Atleast leo Team wema wamemtolea uvivu madam wao... I wish binamu angeenda kutupa full story.
Yaan kageuzwa mcheza shoo halaf ana kiuno kigumu huyo yaan bora aajiriwe jamanii huyo domo anampotezaaa
geniveros Dinazarde Heaven on Earth TATIANA yani leo nimemkumbuka sana binamu warumi huko insta Team Wema wamemcharukia Dangote na kumsema ana mtumia wema vibaya kwa maslai yake binafsi... wema kawamind ila bado raia wanamsena afungue hata saloon kuliko kufanywa mcheza shoo wa Dangote.
Atleast leo Team wema wamemtolea uvivu madam wao... I wish binamu angeenda kutupa full story.
Km ni mchepuko tafuta aliyemzidi mmeo kimaslahi na kwa status, hata ukifumaniwa japo aone wivu kidogo lolSasa jide nae bora angetafuta mchepuko kijana maana yule nkono nae ni.kikongwe sana,sema maslahi pia mbele,daah sasa hii ni ngumu,ila jide anaweza akamrudisha gadna,she loves him to death sijui gadna huwa anampa nini jide aisee
Maana ile writing sio kosa la iPad wala phone ya touc screen,ni kina Felix wazekwa na Fally Pupuru papara!!
Nikisoma huu uzi nazidi kukumbuka Thread ya lara 1 kuwa ndoa nyingi zimejaa unafiki na watu wanaishi kwa kuvumiliana badala ya kupendana.
In addition,jide hakuwa hata mahakamani
Hahahaha hivi walikuwa hawajui kuwa wema anatumiwa kibiashara?
Ndio Rais wao Marioo comunity makamu wake Ema Mbasha waziri mkuu ni EzdenDah, kumbe Gadner naye ni MARIOO
Kaz kwel kwel
geniveros Dinazarde Heaven on Earth TATIANA yani leo nimemkumbuka sana binamu warumi huko insta Team Wema wamemcharukia Dangote na kumsema ana mtumia wema vibaya kwa maslai yake binafsi... wema kawamind ila bado raia wanamsena afungue hata saloon kuliko kufanywa mcheza shoo wa Dangote.
Atleast leo Team wema wamemtolea uvivu madam wao... I wish binamu angeenda kutupa full story.
Kwanza unasema imesekana imevunjika, uhakika watukio lakuvunjika kwahio ndoa hauna, hata copy ya taraka, hauna. What is this? Kesho mukiwaona wapo pamoja mutasemaje? Acheni ku kurupuka na mada zisio kua na kichwa wala miguu. Inaweze kana wamegombana tu, nakuepusha shari, mtu unaamua kukaa sehemu kupunguza hasira. Wabongo munajenga hoja, eti wameachana????
ni tatizo la dunia kabisa..yaani bora wabongo kuna hao yeye anaodhani sio wambea wanaojidai mind your own business ni wambea wakuua.tena wakikuchukia watakutaftia hata issue ya uongo.hivi wale mapaparaz wanaowafuata kina kim mpaka club wanatafuta nini?mie naona bora umbea wa bongo wala haukuaffect sana kama wa hao anaodhani yeye.Wabongo tena, mimi nilidhani ni tatizo la kimataifa....nakumbuka Princess Diana alikurupushwa na mapaparazi mpaka gari ikaingia mtoni...hebu nao (wale paparazi) wape vidonge vyao wameze.
Inavosemekana kutoka chni ya kapeti ni kuwa kibonde na gadner wana uhusiano wa kimapenzi(homo) toka kitambo, ila sijui kati yao nani anakuwa bottomed(anabinuliwa).?
Duh polepole Mshenga!
kwani wa kibonde alikija?na kibonde naye ana mke
ila kweli anatumiwa sana wema kunufaisha watu wanaomzunguka.halafu hili swala la kutokuoa ili usishuke kwenye mziki mi sikubaliani nalo.kama unafanya mziki kama kazi kama kazi nyingine utashukaje ukioa?inamaana successful people wote wenye kazi zao hawajaoa kuogopa watashuka?mbona Jz kaoa na hajashuka.Anajua akimwoa hataweza mtumia ipasavyo kumwingizia kipato zaidi ya kutumia zaidi.Walikuwa wanajifanya wagumu kukubali ukweli pamoja na diamond kuongea kwenye media hana mpango wa kuoa karibuni anaogopa kuanguka kimziki bado waliendelea kumtetea mpaka juzi walipo sema enough is enough.