Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,570
Kwenye ukurasa wa instagram wa mzazi mwenzie na Sugu anaefahamika kwa jina la Faiza ameandika kilio chake jinsi anavyoumia kuwa mbali na Sugu, uku akisema analia kwa sauti siku nzima.

Sugu umemfanyaje huyu sista duu ?


Haya ni maneno mazito ambayo mzazi mwenzake na Sugu, Faiza Ally amefunguka kwenye ukurasa wake wa Instagram

attachment.php


Hapa ni Mh. JOSEPH mbilinyi akiwa na mzazi mwenzake na mtoto wao Sasha

attachment.php
 

Attachments

  • 1-1.jpeg
    1-1.jpeg
    90.5 KB · Views: 9,307
  • 2.jpeg
    2.jpeg
    39.6 KB · Views: 9,276
Kazi ipo.....anasubiria huruma kwenye mapenzi??ayapate wapi.
 
Huyu Faiza mie mwenyewe simuelewagi...full kulalamika kuweka maujumbe kibao

Kama mtoto anahudumiwa vizuri inatosha ile miujumbe hata haina maana
 
Masikini dada wa watu namuoneaga huruma sometimes!!!Kuna wakati alipost kua ameshasahau sijui inakuaje tena...
 
Ukiwa mpenzi wa msanii ,mbunge,waziri ujue maisha yako yote yatakuwa ni kulalamika tu
 
alifikiri kuzaa ndo kuolewa na kuwa mke,pole yake.
 
Wat goes around huyu faiza si nasikia naye alimpindua demu wa sugu naye kapinduliwa
 
Back
Top Bottom