Centrehalf
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 509
- 145
Hakika greatthinkers jf wameisha, kweli hii ni habari ya kujadili hapa jf?habari zingine ziwe zinaishia facebook vinginevyo ondoeni nenoi the home of great thinkers hapa jf .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akilalamika kwenye ukurasa wake wa instagram huku akilia na kujutia ndoa yake na SUGU aliyekuwa mke wa mbunge huyo FAIZA ALLY ameandika hivi;
![]()
yea, sugu amemtelekeza mke wake na mtoto. ameshindwa kuleaWewe kweli Msukule habari hii ipo kwenye mitandao ya kijamii leo ni siku ya 3 na aliyeachwa ni huyo anaelialia Sugu yupo kama SUGU na atabaki kuwa SUGU
yea, sugu amemtelekeza mke wake na mtoto. ameshindwa kulea
wewe demu wake wa zamani ndio unaenda kuolewa sasa
sugu ni malaya kama wenzake huko chadema hawezi kudumu na mke...
Alimuoa?
Kanisani?
Msikitini?
Kimila?
Bomani?
Akishindanishwa na yule malaya wa magogoni, mzee wa marekani wiki 2 nani anashinda.sugu ni malaya kama wenzake huko chadema hawezi kudumu na mke...