Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

That sums it up. Ndio maana simwoni kwenye instagram halafu dem inaonekana hana career
 
Hajaamini...

Tatizo la Faiza mapepe sana, yani zile akili za Bongo muvi sijui huwa azifutikagi au vp.

Mshari mshari ndio walichoshindwana na Uncle Sugu, yani wakigombana kidogo anakimbilia media kuna kipindi alishaitisha hadi press. kulalamika eti Sugu katelekeza mtoto hivi demu wa hivi ata mzuka wa kumrudia unatoka wapi .
 
Anapenda maisha ya maonyesho, maisha ya kiinstagram na kifesibuku...

Bora alivyopigwa chini akili imkae sawa...
 
Halafi huyu mwarabu au? Kama mwarabu stoshangaa kuskia kaishia darasa la.7 au form 3 maana wale hupelekwa skuli wakue kisha waolewe. Wanaume hupewa malori waendeshe ndio maisha yao

Bas kashindwa kupata mlanho.kariakoo afanye kama waatabu wenzake aende Maskati na debei akanunue ma dira ya kuuza Dar?
 
mama ulieachwa, lengo la kuja kupaza sauti kwenye media kuwa umeachwa ni nini??? labda ili uonewe huruma??? au usaidiwe kampeni ya kumrudisha mume??? ushauri wa bure kama unahakika wewe sio sababu ya kuachwa, uwezo wa kulirudisha penzi unao wewe peke yako, huitaji kupaza sauti, humu unapoteza muda hakuna wa kukusaidia zaidi sana watakuchambua kama karanga wakuache hapo, kama unahisi unasifa za kuwa mke wake mpove it to him, lakini kelele hazitakusaidia.
 
Aliyekuwa mke wa mbunge wa Mbeya mjini Faiza Ally amelalamika
kuwa Mheshimiwa Mbunge Sugu ametelekeza mwanae hatoi huduma
yoyote ile kwa muda wa mwaka mmoja sasa.

Akiongea kwa uchungu mkubwa kupitia kipindi cha Take One cha Clouds Tv
amedai kuwa Sugu amekuwa hataki kupokea simu yake, kipindi cha nyuma
alikuwa akitumiwa simu alikuwa anaijibu labda baada ya siku mbili.

Akitumiwa picha za mtoto wake ili aone maendeleo yake alikuwa hajibu lolote,
akazidi kueleza kuwa wanaosema kuwa ameachana nae sababu ya mavazi
yake ni uongo kwani Sugu alimfahamu yeye kupitia FACEBOOK.

Yaani mh. mbunge alimuona Faiza kwenye facebook ndipo alipomtongozea
na kumuoa. Inaonyesha huyu mbunge wa Mbeya ni tabia yake kutongoza
wanawake kwenye facebook na hivi sasa atakuwa ametongoza mwingine.

Sugu ameshindwa kulea mwanae wa kumzaa, je? wananchi ataweza?

BY: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
hahahahaham,Mapenzi ya facebook yanaisha kifacebook facebook
 
msilete hoja za maisha binafsi katika siasa mafala nyie,lete hoja zinazoeleweka kama ni maisha ya mtoto na mamake wakayamalize kifamilia.
 
Iko Sababu nyuma yake! Ngoja Sugu ajibu shutuma kama atapenda kujibia kwa media! Maana ana Haki kuamua kutojibu kwa media Sababu ni personal ! Ingawa yeye ni kiongozi wa Wananchi !
 
Huyu binti anamuharibia sana SUGu,anamkosea sana..
Kwenda kutoa tuhuma kupitia kituo ambacho SUGU hapatani nacho nadhani anatumiwa na baadhi ya watu..

SUGU alikosea sana kutoka na huyu malaya..
 
hivi wadau ambao tunajiita great thinkers, ili watu wafahamiane lazima kuwe na meeting point nayo huwa ni popote ili mradi wote muwe na dhamira ya kweli

wengine huku kuchonga tuuu tuu lakini wapenzi wenu mlokutana ni siri yakila mmoja wengine kwenye vyoo vya stand, baa, shule, chuo, safarini......
 
Unakurupuka kuleta hoja ambazo hazina maana yoyote, wakati wanaowana huko facebook ulikuwepo?
 
Aliyekuwa mke wa mbunge wa Mbeya mjini Faiza Ally amelalamika
kuwa Mheshimiwa Mbunge Sugu ametelekeza mwanae hatoi huduma
yoyote ile kwa muda wa mwaka mmoja sasa.

Akiongea kwa uchungu mkubwa kupitia kipindi cha Take One cha Clouds Tv
amedai kuwa Sugu amekuwa hataki kupokea simu yake, kipindi cha nyuma
alikuwa akitumiwa simu alikuwa anaijibu labda baada ya siku mbili.

Akitumiwa picha za mtoto wake ili aone maendeleo yake alikuwa hajibu lolote,
akazidi kueleza kuwa wanaosema kuwa ameachana nae sababu ya mavazi
yake ni uongo kwani Sugu alimfahamu yeye kupitia FACEBOOK.

Yaani mh. mbunge alimuona Faiza kwenye facebook ndipo alipomtongozea
na kumuoa. Inaonyesha huyu mbunge wa Mbeya ni tabia yake kutongoza
wanawake kwenye facebook na hivi sasa atakuwa ametongoza mwingine.

Sugu ameshindwa kulea mwanae wa kumzaa, je? wananchi ataweza?

BY: SUPU YA MAWE

hii habari ilisha kuwepo kule jukwaa la siasa mwaka mmoja ulio pita haina mashiko tena imepitwa na wakati.
 
Last edited by a moderator:
hii habari ilisha kuwepo kule jukwaa la siasa mwaka mmoja ulio pita haina mashiko tena imepitwa na wakati.

kwa reputation ya sugu simsapoti kuwa na huyo malaya tena eti juzi kwenye birthday yake alivaa pampas
 
Aliyekuwa mke wa mbunge wa Mbeya mjini Faiza Ally amelalamika kuwa Mheshimiwa Mbunge Sugu ametelekeza mwanae hatoi huduma yoyote ile kwa muda wa mwaka mmoja sasa.

Akiongea kwa uchungu mkubwa kupitia kipindi cha Take One cha Clouds Tv amedai kuwa Sugu amekuwa hataki kupokea simu yake, kipindi cha nyuma alikuwa akitumiwa simu alikuwa anaijibu labda baada ya siku mbili.

Akitumiwa picha za mtoto wake ili aone maendeleo yake alikuwa hajibu lolote,akazidi kueleza kuwa wanaosema kuwa ameachana nae sababu ya mavazi yake ni uongo kwani Sugu alimfahamu yeye kupitia FACEBOOK.

Yaani mh. mbunge alimuona Faiza kwenye facebook ndipo alipomtongozea na kumuoa. Inaonyesha huyu mbunge wa Mbeya ni tabia yake kutongoza wanawake kwenye facebook na hivi sasa atakuwa ametongoza mwingine.

Sugu ameshindwa kulea mwanae wa kumzaa, je? wananchi ataweza?

BY: SUPU YA MAWE
 
Kama hakuwa na future nae kwanini aliamua kuzaa nae?
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom