Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Hakika greatthinkers jf wameisha, kweli hii ni habari ya kujadili hapa jf?habari zingine ziwe zinaishia facebook vinginevyo ondoeni nenoi the home of great thinkers hapa jf .
 
Jamani leteni hoja za maana kwani wao neo wanna anza kuachana hata wasipoludiana ni yao tena hakuna jipya
 
Centrehalf

Mbona mmejadili ya kapuya, mbona mmejadili ya zito na diva? Sasa iweje ya sugu isijadiliwe? Acheni ushabiki mandazi tulieni kitu kiingie vizuri. Mwanasiasa ni kioo cha jamii ndio maana hata Bill Clinton alipochepuka na Monica ilikua habari ya dunia.
 
Last edited by a moderator:
akilalamika kwenye ukurasa wake wa instagram huku akilia na kujutia ndoa yake na SUGU aliyekuwa mke wa mbunge huyo FAIZA ALLY ameandika hivi;
10670082_768160379890083_3891705040495668269_n.jpg

10460295_768160406556747_8020292495851457765_n.jpg
 
Akilalamika kwa machungu na madhila aliyofanyiwa na mume wake, aliyekuwa mke wa SUGU bi Faiza ally kwenye ukurasa wake wa instagram ameandika hivi;
10670082_768160379890083_3891705040495668269_n.jpg

10460295_768160406556747_8020292495851457765_n.jpg
 
akipata demu mwingine tujulishe, halafu utatutambia pia kama anatumia kondomu au anapendelea kavu
 
Hiki unachokiandika kinamuumiza sana Nape kwani yeye alipatikana kupitia kuchepuka kwa Mzee Mnauye.
 
Wewe kweli Msukule habari hii ipo kwenye mitandao ya kijamii leo ni siku ya 3 na aliyeachwa ni huyo anaelialia Sugu yupo kama SUGU na atabaki kuwa SUGU
yea, sugu amemtelekeza mke wake na mtoto. ameshindwa kulea
 
utaifakwanza, Utavishwa khanga mtu mzima, kufuatilia maisha binafsi ya watu. Taifa nzima liko kwenye suala la KATIBA wewe unapeleleza Sugu leo anaendeleleaje na maisha ya familia yake binafsi. duh!!
 
Changamkia nafasi jimbo liko wazi.
Baadae utuambie ile nguo ya ndani aliyovaa Leo ni ya rangi gani
 
wewe demu wake wa zamani ndio unaenda kuolewa sasa

Sasa Deborah, wewe ndio umeleta hii thread, kwa kawaida wanawake mna wivu sana. Na nahisi ulikuwa unaomba mwezio aachike ili ukachukue nafasi. Kweli dua yako imejibiwa.
 
Back
Top Bottom