Anamiss posho...
Hhhhaaaaaa
Wat goes around huyu faiza si nasikia naye alimpindua demu wa sugu naye kapinduliwa
Mbona huji kwenye uzi wa diamond jamanii ukaona picha za birthday ya wema ni sheeda
Ngoja nichungulie sijaingia muda mrefu hili jukwaa nimepitwa na mengi aisee
Leo team wema hawalalii
Nimeingia insta jioni nimeona wakoje busy na madam wao
Ukiwa mpenzi wa msanii ,mbunge,waziri ujue maisha yako yote yatakuwa ni kulalamika tu