Emaroli
Senior Member
- Oct 28, 2014
- 160
- 144
Kama hakuwa na future nae kwanini aliamua kuzaa nae?
Inawezekana mdada alimua kubeba mimba kwa makusudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hakuwa na future nae kwanini aliamua kuzaa nae?
kwa reputation ya sugu simsapoti kuwa na huyo malaya tena eti juzi kwenye birthday yake alivaa pampas
Halafi huyu mwarabu au? Kama mwarabu stoshangaa kuskia kaishia darasa la.7 au form 3 maana wale hupelekwa skuli wakue kisha waolewe. Wanaume hupewa malori waendeshe ndio maisha yao
Bas kashindwa kupata mlanho.kariakoo afanye kama waatabu wenzake aende Maskati na debei akanunue ma dira ya kuuza Dar?
bora Sugu kampiga chini kama hawezi tofautisha mavazi huko nyumbani ilikuwaje? Leo anaenda kwenye birthday yake na pumpers kesho atavaa bandage nadhani hata kupika wakati mwingine inawezekana alikuwa anapikia chooni ni kimeoooo
Aliyekuwa mke wa mbunge wa Mbeya mjini Faiza Ally amelalamika
kuwa Mheshimiwa Mbunge Sugu ametelekeza mwanae hatoi huduma
yoyote ile kwa muda wa mwaka mmoja sasa.
Akiongea kwa uchungu mkubwa kupitia kipindi cha Take One cha Clouds Tv
amedai kuwa Sugu amekuwa hataki kupokea simu yake, kipindi cha nyuma
alikuwa akitumiwa simu alikuwa anaijibu labda baada ya siku mbili.
Akitumiwa picha za mtoto wake ili aone maendeleo yake alikuwa hajibu lolote,
akazidi kueleza kuwa wanaosema kuwa ameachana nae sababu ya mavazi
yake ni uongo kwani Sugu alimfahamu yeye kupitia FACEBOOK.
Yaani mh. mbunge alimuona Faiza kwenye facebook ndipo alipomtongozea
na kumuoa. Inaonyesha huyu mbunge wa Mbeya ni tabia yake kutongoza
wanawake kwenye facebook na hivi sasa atakuwa ametongoza mwingine.
Sugu ameshindwa kulea mwanae wa kumzaa, je? wananchi ataweza?
BY: SUPU YA MAWE
Sugu mvuta bange hawezi tunza mtoto. Ampeleke ustawi wa jamii