Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Aaaagh namba yake bado unayo, na unamfuatilia! Hujapasha kweliiii
Sina namba yake yule Mumbwa yule. Ila nikitaka napata.

Sijawahi kufikiria kupasha kiporo for leisure. Ila Nilishawahi kutaka kupasha kiporo ili kumfanyia kitu mbaya!.
 
Niliishia kula mzigo, ijapokuwa hakuwa bikra ila walau chombo hakikua used sana.

Kitu kimoja ninachokiamini ni kuwa, inawezekana usiweze kujitetea sana lakini bidii yako kamwe haitokuacha. Mwezi mmoja na wiki mbili baadae nilipigiwa simu nirudi kazini. Nikalimwa barua ya onyo. Ukweli ni kuwa, mambo mengi yalikuwa hayaendi.
Ila umefupisha story
 
Ni single mama kwa sasa. Kachalala (kufulia) kwa lugha ya vijana.

Hajaolewa. Unataka namba yake Mkuu??
Hapa ndipo madem wengi wanakosea. Sasa alikuona boya sahv yeye ndio fala
 
Hapa ndipo madem wengi wanakosea. Sasa alikuona boya sahv yeye ndio fala
Yeye ndiyo boya zaidi!

Tangu tuachane, sijawahi kudate na mwanamke mwingine zaidi ya mke wangu. Ila yeye kashachakazwa mara nyingi. Hali yake mbaya ndiyo ilinipa huruma ya kutomfanyia kibaya.

Anyway, Mungu ndiyo hupanga.
 
Pytuuu mbaka!.

Bora useme aliliwa na vijana wenzangu lakini siyo mzee wangu!.

Ni laana kubwa na ni watu wanaoheshimiana mno!.
Ulivyotaja jina la ukoo wa binti na ulivyianza kujibu hapa ..nimeconnect kitu na nimejua upo mkoa gani tayarii.
 
Nimeshangaa kweli unakubalije kutafutiwa mwananamke chini ya miaka 19 halafu sio bikra...? Halafu alikaa kwenu kwa muda wa miaka 4 nyumbani kwenu kukusubiria[emoji23][emoji23]. Jamaa anajipa moyo tu huo mwanamke ana kaumalaya flani hivi kalichojificha.
Na yale mavyakula ya kijijini lazima ashki awe nayo miaka yote hiyo [emoji1787]
 
acha zako Arif tumia hata freebasics utaenjoy
Kwani huna laini ya halotel kamanda huduma bure tu
Kwani sh ngapi Mark Zuckerberg kalipia
Chaaaaaaaaa!
😁😁😁😁
Umenikumbusha mbali enzi hizo hapa chuga mwanzilishi Wa hill neno arifu alikuwa anaitwa Jimy kichaa.

Ila jamaa wanazengua hawakai kwa kutulia tupaye elimu ya ndoa toka kwa huyu njere.
 
Sijui alipofanyia!.

Mimi nimemkuta when she was at 18 to 19. Kama alilalana nyumbani au kwao, siyo big case kwangu!.
Sisi Masai not big issue hii,ni kama wazaramu tu no wivu.

Kidume unatoka zako huko unakuta kidume kingine kimechomeka mkuki mlangoni anakula mzigo wife wako,inabidi urudi ulikotoka mpaka wamalize ndo uje home.

Hii ndo nasemailikuwa poa when life was life.
 
Back
Top Bottom