Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Asante kwa kutunywesha chai Restart
 
Wazazi wa namna hi bado wapo? Anyway, na mabinti wa namna hi pia bado wapo? Mkoa/wilaya gani hiyo mkuu!? Au hi story ya karne ya 20??? Najua mabinti mabikira bado wapo (though hujaligusia hilo ) but kwa life style hi na namna ulivyo oa, mmh; anyway, Tanzania kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…