Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Msanii Nguli, Luiza Mbutu amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa, tofauti na wasanii wengi nchini.

Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Dogo janja vs Uwoya, Shilole Vs uchebe, jay Dee Vs Gardner

Ndoa nyingine zilizovunjika mapema sana ni ile ya cuf Tanzania na CCM
 
Usanii na ndoa ninaamini huwa havikai pamoja kwa muda mrefu.ikitokea imekaa basi kuna mmojawapo ni muelewa/alijishusha/msanii aliacha usanii.
Wapo kina navy kenzo
Screenshot_20221231-085241.jpg
Screenshot_20221231-085202.jpg
Screenshot_20221231-085027.jpg
 
Back
Top Bottom