City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Inawezekana alikuwa anasupport harakati za Nahreel kama producer so jamaa akaamua kustick naye?Aika kwao Wana hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana alikuwa anasupport harakati za Nahreel kama producer so jamaa akaamua kustick naye?Aika kwao Wana hela
Ujinga bana, wivu ukiendekeza utalia kila siku 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman anatetea ndoa yake, wivu ndo mapenzi enyewe. Huhuhuh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]Hata nahreel kwao wana hela, baba yake mkubwa ni mbunge, ila inasemekana ndo mzazi lakini. Rumours tyuuh. Ila, kwao wana hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi kwenye mada yetu kuu, achana na hao walioathiriwa na 50/50Mwanamke akisha kuja na Mambo ya kuowana, na siyo kuolewa,huyo lazima atakua wale wanaharakati!!
Nop. Ubabe na ujuaji.She's a cheater au ana shida gani?
Mtu wa kaskazini anakuagaje kwaniNi kweli Aika ana ubabe fulan na ujuaji, kuna sehemu niliwahi kukaa nae kuna jambo lilitukutanishaa tulikua ka kundi, kheeeh nilichokaa n km mbishi fulan.
Si ni mtu wa kaskazini yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwake na mumewe.
Naiombea ya nandela na William idumu
Elizabeth na mumewe pia.
Amen
Mjini ndio wapi?Umeingia lini mjini kutoka huko kwenu berege?
Sawa. Wewe una mav*zi yenye mvi, yanakusaidia nini. Yani kumjua mkata viuno unaona ni milestone umefikia?Mwandiko wake tu unadhihirisha bado ana ubwabwa wa shingo.
Of course yes. Ukizingatia demu Hana mvuto zaidi ya pesa za familiaInawezekana alikuwa anasupport harakati za Nahreel kama producer so jamaa akaamua kustick naye?
Uchebe alichemsha Kwa ubabe wa Bibi Titi Mama lishe ingawa alikua analelewaNop. Ubabe na ujuaji.
Wanaume wengi tunashindwana na wanawake wenye hizo tabia mbili.
Mbona Beyonce WA Jay Z kadumu kwenye ndoaAlichagua ndoa over usanii,angemix vyote angechemsha,hata besta wa Marlaw aliacha usanii kulinda ndoa.
Msanii akiwa mrembo hawezi kudumu kwenye ndoa
Hawa wa kwetu Wana Njaa hatari
Beyonce ni msanii au mwanamuziki
Njaa mbayaSasa Nahreel kaachana na Ile pride ya wanaume wa Musoma. Kaufyata kwa mkaskazini wake!
😄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaa kweli. Ila ndo ivo nahreel ana stick nae tyuuh.Ujinga bana, wivu ukiendekeza utalia kila siku [emoji1787]
Kheeeeh yaishee sitaki kelele mie, akuuuuhMtu wa kaskazini anakuagaje kwani