Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Aika ndo kaamua kuwaa mpoleeee, nahreel ni cheater, alikua ana date na Rosa ree, then akaja ku date na dada fulan wa chuo CBE, had aika alitokaga public kuhemkwa.

Labda useme Aika ni mtu km ana tabia ya, ubabe fulan na ujuaji. Hvyo sawan

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah. Hapo nlifocus zaidi kwenye ule ubabe ubabe wa bibie.
Nahreel angeweka Ego mbele, bila shaka wasingefika hapo.
 
Unamfaham msanii WA kuitwa NINA alikuwa pisi Kali balaa.

Yupo kwenye ndoa Nadhani ni mwaka WA 18 sasa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Alichagua ndoa over usanii,angemix vyote angechemsha,hata besta wa Marlaw aliacha usanii kulinda ndoa.
Msanii akiwa mrembo hawezi kudumu kwenye ndoa
 
Yeah. Hapo nlifocus zaidi kwenye ule ubabe ubabe wa bibie.
Nahreel angeweka Ego mbele, bila shaka wasingefika hapo.
Ni kweli Aika ana ubabe fulan na ujuaji, kuna sehemu niliwahi kukaa nae kuna jambo lilitukutanishaa tulikua ka kundi, kheeeh nilichokaa n km mbishi fulan.

Si ni mtu wa kaskazini yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aika ndo kaamua kuwaa mpoleeee, nahreel ni cheater, alikua ana date na Rosa ree, then akaja ku date na dada fulan wa chuo CBE, had aika alitokaga public kuhemkwa.

Labda useme Aika ni mtu km ana tabia ya, ubabe fulan na ujuaji. Hvyo sawan

Sent using Jamii Forums mobile app
Madem type ya Aika ni manipulators, huwa wanataka ku dominate territory yao mwanzo mwisho kiasi kwamba kwa mtu huru anaanza ku feel suffocation sasa badala ya upendo.

Unageuka kuwa kama tool sasa na sio binadamu. 24/7 anataka akuone around her ukitoka tu lawama, umeenda kwa madem zako vurugu vurugu. Mwanamke anapenda sana ila anazingua na mawivu yaliopitiliza.
 
Sasa Nahreel kaachana na Ile pride ya wanaume wa Musoma. Kaufyata kwa mkaskazini wake!
😄
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman anatetea ndoa yake, wivu ndo mapenzi enyewe. Huhuhuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Nahreel kaachana na Ile pride ya wanaume wa Musoma. Kaufyata kwa mkaskazini wake!
[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ndo vizuri waendelee kuishi Pa1, maana kutengana na kuachana nako sio sahihi,. Tena wale sahv wna watoto wakae walee familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ndo vizuri waendelee kuishi Pa1, maana kutengana na kuachana nako sio sahihi,. Tena wale sahv wna watoto wakae walee familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani kwanini Nahreel ameamua kulast na Aika?
Ukiachana suala la kwamba wana watoto sasa. Factors tu zingine.
 
Aika ndo kaamua kuwaa mpoleeee, nahreel ni cheater, alikua ana date na Rosa ree, then akaja ku date na dada fulan wa chuo CBE, had aika alitokaga public kuhemkwa.

Labda useme Aika ni mtu km ana tabia ya, ubabe fulan na ujuaji. Hvyo sawan

Sent using Jamii Forums mobile app
Aika kwao Wana hela huyo boya ana malengo ya mbali
 
Back
Top Bottom