Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N.
Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada ya kuulizwa na mke wake huyo alikataa katakata kwamba yeye hajaoa mke mwingine.
Habari zinasema huyo Mke wa Marekani ndipo alipoingia chimbo na kufukunyua ma-file ya "Ndoa" za mtangazaji huyo ambazo hazijulikani public na kukuta ana utitiri wa wanawake. Inasemekana kila nchi anayotembeleaga jamaa ana mwanamke na huwa anahakikisha anawazalisha ili kuweka mizizi kwa ajili ya malengo yake fulani fulani.
Kwa sasa mwanamama huyo wa Marekani ameandika barua ubalozi wa nchi yake ya kumshtaki mtangazaji huyo kwani amekuwa akituma miamala ya kutosha kwa malengo waliyojiwekeaga, kumbe jamaa ana malengo yake tofauti..
Kweli mjini njoo na kichwa tu, akili utazikuta hukuhuku..