Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

Ila Kaka zangu wa kiislamu nini shida, yaani kutwa kuoa na kuacha. Sijui tutakuwa na kizazi gani jamani.
Yaani kuanzia manara, masudi kipanya, na huyu maulid daah.ukija kwa diamond ndio hivyo Tena hata kuoa hataki.
Ally kiba naye ndoa imeshamshinda.
Hivi tunawafundisha nini watoto wetu wanaokua.
Wataishi maisha ya kifamilia kweli.

Kongole kwa wakristu Wanaheshimu sana ndoa zao.kina Marlow tangu wameoa wapo kimya wametulia ktk ndoa zao, billnass na nandy pia.

Wanawake wa kiiislamu weusi huwa hawaenjoy ndoa zao. Wanaume wa kiislam weusi wenye vipato vikubwa wapo wachache na hao wachache kazi yao kuoa kuzalisha na kuacha kisha kuoa upya.

Waarabu waislam wana ustaarabu tatizo na wao wanaoa waarabu wenzao tu.

Wanawake wa kikristo wana advantage sokoni maana wakaka wa kikristo wenye vipato vikubwa wapo wengi.. na dini yao inawabana na kuwafosi ustaarabu.

Imagine mtu kama millard ayo alivyojipata kama angekuwa muislamu angekuwa na ndoa ngapi ?
 
Aisee zingekuwa nyingi...

Njoo huku mtaani sasa vijana wanaoana balaa lkn ndoa hazidumu yaani pakishapatikana mtoto mmoja tu ndoa chaliii....ndoa zingine za msimu wa ramadhan, msimu ukiisha tu hamna ndoa.
 
Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N.

Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada ya kuulizwa na mke wake huyo alikataa katakata kwamba yeye hajaoa mke mwingine.

Habari zinasemw huyo Mke wa Marekani ndipo alipoingia chimbo na kufukunyua ma-file ya "Ndoa" za mtangazaji huyo ambazo hazijulikani public na kukuta ana utitiri wa wanawake. Inasemekana kila nchi anayotembeleaga jamaa ana mwanamke na huwa anahakikisha anawazalisha ili kuweka mizizi kwa ajili ya malengo yake fulani fulani.

Kwa sasa mwanamama huyo wa Marekani ameandika barua ubalozi wa nchi yake ya kumshtaki mtangazaji huyo kwani amekuwa akituma miamala ya kutosha kwa malengo waliyojiwekeaga, kumbe jamaa ana malengo yake tofauti..

Kweli mjini njoo na kichwa tu, akili utazikuta hukuhuku..
Asante kwa maelezo maana nimeiona kwa mange alafu kasema sijui twende kwenye app.. ambayo wengine hatuna
 
Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N.

Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada ya kuulizwa na mke wake huyo alikataa katakata kwamba yeye hajaoa mke mwingine.

Habari zinasemw huyo Mke wa Marekani ndipo alipoingia chimbo na kufukunyua ma-file ya "Ndoa" za mtangazaji huyo ambazo hazijulikani public na kukuta ana utitiri wa wanawake. Inasemekana kila nchi anayotembeleaga jamaa ana mwanamke na huwa anahakikisha anawazalisha ili kuweka mizizi kwa ajili ya malengo yake fulani fulani.

Kwa sasa mwanamama huyo wa Marekani ameandika barua ubalozi wa nchi yake ya kumshtaki mtangazaji huyo kwani amekuwa akituma miamala ya kutosha kwa malengo waliyojiwekeaga, kumbe jamaa ana malengo yake tofauti..

Kweli mjini njoo na kichwa tu, akili utazikuta hukuhuku..
wabantu husema,
alidhani amepata kumbe amepatikana 🐒

alidhani ameshika kumbe ameshikwa 🐒
 
Huyo Nusrat mwenyewe chiiiiiizi ....ukisikia chizi mpz ndio huyu sasa .....Hana akili hata kidogo
 
Ila Kaka zangu wa kiislamu nini shida, yaani kutwa kuoa na kuacha. Sijui tutakuwa na kizazi gani jamani.
Yaani kuanzia manara, masudi kipanya, na huyu maulid daah.ukija kwa diamond ndio hivyo Tena hata kuoa hataki.
Ally kiba naye ndoa imeshamshinda.
Hivi tunawafundisha nini watoto wetu wanaokua.
Wataishi maisha ya kifamilia kweli.

Kongole kwa wakristu Wanaheshimu sana ndoa zao.kina Marlow tangu wameoa wapo kimya wametulia ktk ndoa zao, billnass na nandy pia.
Ni kweli ni wastaarabu sana papa Francis kafika mbali karuhusu hadi ndoa za jinsia moja zibarikiwe makanisani
 
Aisee zingekuwa nyingi...

Njoo huku mtaani sasa vijana wanaona balaa lkn ndoa hazidumu yaani pakishapatikana mtoto mmoja tu ndoa chaliii....ndoa zingine za msimu wa ramadhan, msimu ukiisha tu hamna ndoa.

Ni kweli wanawake wa kiislamu hata wakiolewa hawajiamini.. mama mkwe mswahili. Baba mkwe na yeye ana wake kazaa.. hata ukimpelekea kesi anakwambia dini inaruhusu.

Mwanamke wa kikristo akienda kulamika kanisani hata kama kakosea yeye. Kanisa linamtetea.. ndio maana wanaume wa kristo hawana ujanja wa kuoa oa kama wanaume waislamu
 
Back
Top Bottom