Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake ye mwenyewe.... A good woman can make her husband more good
:: hapo Martha nahisi alitumia advantage ya uchungaji kumvuruga Kijana wa watu akijua hata react, its too much now....
::tabia ya uzinzi hainaga kinga waheshimiwa, kama alikuwa na mawasiliano ya wa ujanani (lucekelo) nahisi haikuwa simu tu they met sometimes and alipapuchuliwa, so the glass was full I guess..
::mchungaji naye nahisi hakumuoa Martha pengine alioa u superstar wa Martha ajinufaishe kidini but he finally failed using her fame making what she want..
::non of them was serious..waliongozwa na mihemko, ngoja ife wafikirie upya...
:😛robably ni vipindi vya mpito tu, we wish recovery soon..
::NDOA JAMANI, UKIONA WANAGOMBANA WAPENDANAO SHIKA JEMBE UKALIME..
::Hapa hakunaga cha kuforecast, hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Martha mwenyewe alikuwa na mchumba wake anaitwa Lusekelo anakaa Tabata Kimanga, Mchungaji alimpora Lusekelo kisha akamuoa yeye. Sasa ni wakati wa Martha kurudi kwa mchumba wake wa ujana Lusekelo.

Tiririka vizuri kwa kunyoosha maelezo. Martha aliporwa kivipi? Alinyeshwa au kulishwa madawa ya kulevya? Yaani kama Martha hakumpenda huyo Mchungaji hakuwa anafahamu viliko vituo vya Polisi ili akarepoti?
 
Kwa wanyaki mfumo dume ha-uapply, sisi wenyewe tuna udume ndani yetu. Sasa ukileta hizo mbwembwe lazima ule za uso

Afu hawawaonagi wa kuwabeba migongoni,hadi wakomae na wanyaki jamani? Watuwacheee wanyaki tupumuweee, sisi ni wives materials kwa wanaojua nini tunahitaji, wachague tu wa kuendana nao

@heaven sent unaitwa mama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka wale wa "ndio mzee".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…