Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna maumivu mengi sana kwenye ndoa... Usipoishi kwa kiapo usipokishikilia kwa nguvu unaishia njiani hufiki
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maumivu mengi sana kwenye ndoa... Usipoishi kwa kiapo usipokishikilia kwa nguvu unaishia njiani hufiki
Daah mdeni wangu mbona unatutishaKuna maumivu mengi sana kwenye ndoa... Usipoishi kwa kiapo usipokishikilia kwa nguvu unaishia njiani hufiki
Jr[emoji769]
Kazi yake ni Usanii mkuu!!
Ni vema sabbu nae huyajui yanayo endelea kwake. Huenda siku ukisikia utakata tamaa kabisa.Binafsi nimevutiwa na Christina Shusho, asiachane tu na mumewe coz katika waimbaji wote namsikiliza yeye tu!!!!
Sio upendo kumbe!!Utii na unyenyekevu tu havitoshi kuilinda ndoa bali uvumilivu ndio msingi wa ndoa.
Kuna wakati upendo unaisha, kinachobaki ni kuvumiliana tu.Sio upendo kumbe!!
Upendo huvumilia.Kuna wakati upendo unaisha, kinachobaki ni kuvumiliana tu.
[emoji122][emoji122][emoji122] Asante kwa kunisahihisha!Upendo huvumilia.
Hata Martha mwenyewe alikuwa na mchumba wake anaitwa Lusekelo anakaa Tabata Kimanga, Mchungaji alimpora Lusekelo kisha akamuoa yeye. Sasa ni wakati wa Martha kurudi kwa mchumba wake wa ujana Lusekelo.
@heaven sent unaitwa mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wanyaki mfumo dume ha-uapply, sisi wenyewe tuna udume ndani yetu. Sasa ukileta hizo mbwembwe lazima ule za uso
Afu hawawaonagi wa kuwabeba migongoni,hadi wakomae na wanyaki jamani? Watuwacheee wanyaki tupumuweee, sisi ni wives materials kwa wanaojua nini tunahitaji, wachague tu wa kuendana nao
Huku hakuna visosa, tupo busy na mpunga teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka wale wa "ndio mzee".
Hahahaaaa!Huku hakuna visosa, tupo busy na mpunga teh