Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

siwezi kukukatalia, sababubhata staili yake yabuimbaji imebadilika sana, lakini pia siwezi kumnyooshea kidole kwani nami sio msafi kivile

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Christina hana utoto kihivyo, keshakuwa mtu mzima, sasa anakosaje utulivu? Unajua kina Martha bado wadogo, wanaweza kuanguka kirahisi. Lakini huyu dada yupo 30+ au 40+ huko, anashindwaje kutulia kwenye ndoa?
 

Hakufahamu kila ndoa ni project japo jina ni lilelile lakini kila ndoa ina mambo yake.
 
We ndo lusekelo sio kwa kulia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…