Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

Ndoa ya Martha Mwaipaja haipo tena?

siwezi kukukatalia, sababubhata staili yake yabuimbaji imebadilika sana, lakini pia siwezi kumnyooshea kidole kwani nami sio msafi kivile

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Christina hana utoto kihivyo, keshakuwa mtu mzima, sasa anakosaje utulivu? Unajua kina Martha bado wadogo, wanaweza kuanguka kirahisi. Lakini huyu dada yupo 30+ au 40+ huko, anashindwaje kutulia kwenye ndoa?
 
Kuna wakati huyo Martha alikuwa akiwashangaa wanawake waloolewa kuwa kinachosababisha migogoro ya ndoa nyingi ni sababu wanawake waloolewa hawawatii waume zao!
Akajinadi kuwa yeye anajua kutii na kujua vizuri kumhudumia mume!
Sasa kulikoni tena?


Sent using Jamii Forums mobile app

Hakufahamu kila ndoa ni project japo jina ni lilelile lakini kila ndoa ina mambo yake.
 
Acha majungu kaa kimya. Huyo Mchungaji John Said aliyemuoa Martha ni malaya wa kutupwa. Hata Martha mwenyewe alikuwa na mchumba wake anaitwa Lusekelo anakaa Tabata Kimanga, Mchungaji alimpora Lusekelo kisha akamuoa yeye. Sasa ni wakati wa Martha kurudi kwa mchumba wake wa ujana Lusekelo.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo lusekelo sio kwa kulia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom