Faraja sio Mnyiramba marehemu mzee Kotta ni msamba na marehemu mama yake ni mngoni. Mnyiramba ni muheshimiwa.Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.
Faraja alikuwa anasoma huko na amekaa miaka minne au mitano kama sikosei na watoto wake wote kajifungulia Uk. Yeye na dada yake Genivivu mke wa Isack Kasanga kwani dada yake alikuwa anafanya kazi standard charted bank UK?Muulizeni na yeye Faraja kilichompeleka UK miezi michache kabla ya kufunga ndoa ni nini?
Faraja alikuwa anasoma huko na amekaa miaka minne au mitano kama sikosei na watoto wake wote kajifungulia Uk. Yeye na dada yake Genivivu mke wa Isack Kasanga kwani dada yake alikuwa anafanya kazi standard charted bank UK?
Weropoka hapa mwenziokesho ana post insta MY RIDE OR DIE, THE LOVE OF MY LIFE! Utaumbukajeeeee!
Kamezichuma then kanataka kumtafuta size yake kafaraja,ndo madhara ya kuolewa kwa sababu za kimasilahi.
Kamaumeoaunaakilitimamuhotoshabikoahiishidayamwenzako,,,,gnyt
Faraja ni wife material na Nyalandu ni her everything,Anampenda sana Mmewe,mdada wa watu ni yatima so family kwake ni kila kitu....
Dahumerudiiiisilalliiii-ngoooooooooo
Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.
Faraja ndo mnyiramba! Sasa imekuwaje mnyaturu akawa mbunge wa Iramba? Si kwa wanyiramba kule?
Kama hujui kitu bora unyamaze kama nyalandu ni mbunge wa Iramba Mwigulu naye ni mbunge wa wapi?
The Boss na Heaven on Earth malizeni tofauti,Kweli mademu wanauzi/wanakinaisha yani mtoto mzuri kama faraja hamridhishi nyalando? Daa ni shida.
sijakuelewa
hii thread sijachangia chochote naona umeni mention
Chezeaaaaaaa watoto wa mwananyamala ile mimba kwake ni kama jackpot bingo;yaani hawa wanaume wa kibongo nawachukia maskini faraja wa Watu na hapo sio tasa
Mila za kiafrica ni kuoa wanawake wengi, huu uzungu ni kulazimisha tu. Michepuko haiishi kwa sababu ya kujaribu kukimbia kivuli ambacho waafrika hawawezi.
Yakifichuka ya wenzenu mnawasema ya kwenu aa!
Faraja ni wife material na Nyalandu ni her everything,Anampenda sana Mmewe,mdada wa watu ni yatima so family kwake ni kila kitu....