Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Mimi nachosimama na wewe kinyume ni ku-generalize, siyo wote wanalea watoto wasio wao na wala siyo wote wanaoona ndoa zao chungu, hivyo kuhamasisha watu wasioe kisa kuna baadhi wanapitia changamoto hapo haupo sahihi..!
 
na wewe umemwamini Liverpool VPN wakati link ya hiyo twitter hajaitoa
huyo jamaa wa Kenya ni uongo kwani story ni ya Nigeria ilifumuka mwanzoni mwa mwaka 2020 jamaa alikuwa USA akaamua kuja ichukua familia yake hiyio akatakiwa kwanza apime DNA ili aruhusiwe permit
DNA hazisemi ukweli 90% la sivyo hata sisi tutakataliwa na baba zetu
 
Haya Maisha Ni Kumtegemea Mungu tuu... Uadilifu Miaka hii umeshuka Sana... Bila Ndoa kusimamiwa na kuongozwa na Mungu Mwenyewe ndugu zangu Ni kilio kikubwa Sana... Tukumbuke pia Uzinzi Ni kosa Kuu..
uzinzi ni kosa kuliko kuua? Mnazioverrate sana baadhi ya dhambi wakati dhambi zote ni sawa tu.
 
Acha kujidanganya

Wewe ndio unajidanganya sio lazima uelewe, wanafunzi wajinga huelewa baada ya kutoka kwenye chumba cha mtihani, sasa ndio wewe.

Hizi kelele zote mtaani na mtandaoni bado hujui sababu ni ipi? Kweli Punguani ni punguani tuu
 
Wewe ndio unajidanganya sio lazima uelewe, wanafunzi wajinga huelewa baada ya kutoka kwenye chumba cha mtihani, sasa ndio wewe.

Hizi kelele zote mtaani na mtandaoni bado hujui sababu ni ipi? Kweli Punguani ni punguani tuu
Kwakua umeanza na matusi ngoja nikuache tu endelea na msimamo wako huohuo
 
Na ukishazipata hizo pesa.,..unakuwa busy kuzilinda...,.humridhishi mkeo........anatafuta wahuni wale wa mjini msingi kiuno.,..,..wanampa mimba mfululizo.,.......unabambikiwa watoto..,,....baadaye unashtukia....,...unapata stress.,.....unapalalaizi.,.......wahuni wanaendelea kumtafuna mkeo ilihali wewe upo kitandani huwezi hata kugeuka.,..,,..KUFA HAUFI ILA CHA MOTO UTAKIPATA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…