Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Yaani mama unataka kufananisha na maumivu ya kukosa usingizi, kukosa appetite, maumivu ya kuwaza na kukoswakoswa na gari, maumivu ya kuona DUNIA nzima imekuhelemea na Ajali..!!

For more than 10 yrs ulikua unajifariji Hawa ni wanaao na ukajitoa hasa.
Leo eti unaambiwa "SIO WANAO" kwamba all what you have invested in them from your time and money it's nothing A.K.A you have lost all.

Hi li yoyote inafanana na ajali?

#YNWA
Mimi nachosimama na wewe kinyume ni ku-generalize, siyo wote wanalea watoto wasio wao na wala siyo wote wanaoona ndoa zao chungu, hivyo kuhamasisha watu wasioe kisa kuna baadhi wanapitia changamoto hapo haupo sahihi..!
 
Kitaalamu kwa mwanamke asiye bikra ili ashike mimba ni lazima ashiriki ngono na mwanaume kwa zaidi ya awamu sita (6) akiwa katika siku zake za hatari......kwahiyo kwa haraka haraka boss kamtomber mke wa jamaa zaidi ya mara kumi na nane (3×6=18) mpaka kumzalisha hao watoto watatu (3) na jamaa yupo yupo tu hana A Wala Be[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na wewe umemwamini Liverpool VPN wakati link ya hiyo twitter hajaitoa
huyo jamaa wa Kenya ni uongo kwani story ni ya Nigeria ilifumuka mwanzoni mwa mwaka 2020 jamaa alikuwa USA akaamua kuja ichukua familia yake hiyio akatakiwa kwanza apime DNA ili aruhusiwe permit
DNA hazisemi ukweli 90% la sivyo hata sisi tutakataliwa na baba zetu
 
Haya Maisha Ni Kumtegemea Mungu tuu... Uadilifu Miaka hii umeshuka Sana... Bila Ndoa kusimamiwa na kuongozwa na Mungu Mwenyewe ndugu zangu Ni kilio kikubwa Sana... Tukumbuke pia Uzinzi Ni kosa Kuu..
uzinzi ni kosa kuliko kuua? Mnazioverrate sana baadhi ya dhambi wakati dhambi zote ni sawa tu.
 
Acha kujidanganya

Wewe ndio unajidanganya sio lazima uelewe, wanafunzi wajinga huelewa baada ya kutoka kwenye chumba cha mtihani, sasa ndio wewe.

Hizi kelele zote mtaani na mtandaoni bado hujui sababu ni ipi? Kweli Punguani ni punguani tuu
 
Wewe ndio unajidanganya sio lazima uelewe, wanafunzi wajinga huelewa baada ya kutoka kwenye chumba cha mtihani, sasa ndio wewe.

Hizi kelele zote mtaani na mtandaoni bado hujui sababu ni ipi? Kweli Punguani ni punguani tuu
Kwakua umeanza na matusi ngoja nikuache tu endelea na msimamo wako huohuo
 
Na ukishazipata hizo pesa.,..unakuwa busy kuzilinda...,.humridhishi mkeo........anatafuta wahuni wale wa mjini msingi kiuno.,..,..wanampa mimba mfululizo.,.......unabambikiwa watoto..,,....baadaye unashtukia....,...unapata stress.,.....unapalalaizi.,.......wahuni wanaendelea kumtafuna mkeo ilihali wewe upo kitandani huwezi hata kugeuka.,..,,..KUFA HAUFI ILA CHA MOTO UTAKIPATA
 
Back
Top Bottom