Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Wengi wangeambiwa wapime DNA hapa hawa wanaojifanya wakali ukute hawajalelewa na biological fathers..dunia hii Ina mambo!
Aiseee! Truth cannot be so pointedly clearer kuliko hii. Halafu DNA kitu gani!!??? Kwa sababu, according to physiological chemistry, sisi sote ni the same genetically kwa 99+% Kwa hiyo huyo baba awapende hao malaika 3 + 1 maisha yasonge mbele. Hiyo ni ajali kama ajali zingine. Aliyemfundisha mwanadamu kulipiza visasi asingepaswa kabisa kusomeshwa; angepewa hata kazi ya uhamali round the clock 24/7 asipate japo muda wa kuwasiliana na wanadumu.
 
Aiseee hii inauma sana
Maumivu ni makubwa mno hapo
Naona watu wengi wana comment kirahisi sana hasa wewe Jasmoni Tegga
Eti kitanda hakizai hio ni kipindi hio sio sasa

Hivi amewezaje kubeba Mimba tatu (3) zote hizo, Mbona ni nyingi sana ? ?
Kwan walikubaliana na huyo bossi wake wazae ama ? ?

Watoto wote hawa
Mtoto wa 1, mtoto wa 2 mpaka mtoto wa 3 Huyo Mwanamke ameenda mbali zaidi

NASHAURI
Jamaa Asione shida kuanza upya Amuachie Mungu Asamehe kabisa, Atafute Mwanamke Mwengine Maisha yaendelee
 
Ukiachana nae maumivu yatapungua? Haitaondoa ukweli na ni kitu ambacho hutaweza sahau maisha yako yote
The best way to heal the most terrible offense ni kusamehe na kujifunza somo. Ndiyo wanaume wajifunze kukaa vizuri na wake zao, wawapende na kuwahudumia kikamilifu.
 
Ndicho kilichonitokeaga Mimi ....Nimelea Mtoto miaka mitatu nikidhani ni damu yangu kumbe holla tu .... Nilituliza akili nikahesabu miez tangu nikutane nae nikakuta ni miezi 8 na Siku 13 .... Hapo ndo nilipokazia kumbe nilikutana nae akiwa na ujauzito tayari .... But nilishasamehe ... Let's life goes on ....

KIUMBE KIITWACHO MWANAMKE KUWA NACHO MAKINI SANA
 
Aise umeshauri ujinga ila nadhani huu ni ushauri bora kabisa kama anataka kupunguza machungu vzr...

Kuna machungu yanapungua kwa kusababisha machungu...
You cannot solve a problem by creating a new one. Halafu, another definition ya a man [emoji67] ni problem solver -- man with brain. Matatizo hayaui, labda ukiyaruhusu yakuue.
 
Mwanamume huyo aliamua kufanyia watoto wake wanne uchunguzi wa DNA baada ya kuanza kumshuku mke wake
  • Ripoti ya uchunguzi huo ilionyesha kuwa ni baba halisi ya mtoto mmoja pekee kati ya wanne ambao aliwalea pamoja na mke wake kwa miaka 24
  • Mke wake alikiri kuwa bosi wake ndiye baba ya watoto watatu wa kwanza
Tafakari haya, baada ya miaka 24 ya ndoa, unagundua kuwa watoto watatu kati ya wanne ambao umekuwa ukiwalea pamoja na mke wako si wako halisi.

Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto 3 si wake.

Japo visa hivi hutokea kwenye filamu pekee, jamaa mmoja ambaye alikumbana na hali hii alithibitisha kuwa mambo haya ni ya kweli.

Kupitia kitandazi cha Twitter, Khasakhala almaarufu Julius Mmasi aliwaacha wanamtandao vinywa wazi baada ya kufichua kuwa rafiki wake wa karibu alilazimika kuvunja ndoa yake ya miaka 24 na mke wake baada ya matokeo ya DNA kubainisha kuwa ni baba halisi wa mtoto mmoja pekee kati ya wanne ambao aliwalea pamoja na mke wake.

Jambo la kuhuzunisha zaidi ni kuwa mke wake alikiri kuwa bosi wake ndiye baba ya watoto watatu wa kwanza

Mwanamume huyo aliamua kufanyia watoto wake wanne uchunguzi wa DNA baada ya kuanza kumshuku mke wake.

Kwa uchungu mkubwa, aligundua kuwa mabinti wake watatu ni watoto wa bosi wa mke wake huku kitinda mimba ambaye ni wa kiume ndiye mtoto wake pekee halisi katika ndoa hiyo.

"Watoto watatu wa kwanza wa kike, wawili walishamaliza tayari kidato cha nne mwingine yuko kidato cha nne. Mke wake alikiri kuwa watoto watatu wa kwanza ni wa bosi wake.

Utamshauri nini mtu kama huyu ?"
Ahakikishe hao mabinti wa mke wake anawachakata wote kisha anawatimua na mama yao

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Aiseee! Truth cannot be so pointedly clearer kuliko hii. Halafu DNA kitu gani!!??? Kwa sababu, according to physiological chemistry, sisi sote ni the same genetically kwa 99+% Kwa hiyo huyo baba awapende hao malaika 3 + 1 maisha yasonge mbele. Hiyo ni ajali kama ajali zingine. Aliyemfundisha mwanadamu kulipiza visasi asingepaswa kabisa kusomeshwa; angepewa hata kazi ya uhamali round the clock 24/7 asipate japo muda wa kuwasiliana na wanadumu.

Wewe ni mwanamke halfu kama sio yule cariha sijuiiiiii

Yaani ni either mwanamke au shoga.Mawazo yako sio ya mwanaume aliyekamilika hamna popote mwanaume aliyekamilika ana comment km feminist
 
Hapo basi unakuwa umejiibia mara mbili; wale watoto unatakiwa ujimilikishe kisheria wawe wako, uwapende na kuwathamini kama wanao wa damu, as if hujui kilichotokea. Purukushani zingine ni ZERO BRAIN na mihemko ya hasara. Halafu, kitendo cha kuwafukuzwa na kuwadhalilisha ni chuki ya karne, usijifiche kwenye maneno matupu. Kijana huna hata chembe ya ubinadamu!!??? Angalia usijeshindwa kuoa aiseee! Tafakari ulipojikwaa siyo ulipoangukia.
Ubinadam upi kwanza kitendo cha kumwacha bila kumzuru au kumfanya chochote ni ubinadam tosha na ujasiri wa hali ya juu,kuna wengine wanaweza hata kuua au kupata uchizi kabisa.Hapo hafukuzwi mtu bali wanaenda kwa baba yao mzazi sasa kosa lipo wapi.

Hachukiwi mtu baba yao yupo hai amalizie tu nilipoishia simple aubebe msalaba wake.
 
Wewe ni mwanamke halfu kama sio yule cariha sijuiiiiii

Yaani ni either mwanamke au shoga.Mawazo yako sio ya mwanaume aliyekamilika hamna popote mwanaume aliyekamilika ana comment km feminist
Mwenyewe nahisi kitu kama hicho unachowaza wewe.
 
The best way to heal the most terrible offense ni kusamehe na kujifunza somo. Ndiyo wanaume wajifunze kukaa vizuri na wake zao, wawapende na kuwahudumia kikamilifu.
Ni kweli usemayo. Binafsi nimepitia situation ambayo inavunja sana moyo ila baada ya kukubali ukweli na kusamehe naona ule uzito niliokuwa nao moyoni unapungua.
Ukiendeleza chuki na vita mara nyingi yanayofuata ni mabaya zaidi.
 
Yote yanatokea haya ...kwasababu

Wanaume,tumeacha asili yetu na kubeba uvivu wa akili na maarifa

Mwanamke,tumempa kitu ambacho si chake

Asili ya Mwanaume,ni kujitambua na kujua haki yake juu ya familia,na haki ya familia juu yake

Asili ya Mwanaume,ni kupambana na kutafuta kwa nguvu zote

Asili ya Mwanaume,ni kuyavaa majukumu yake ipasavyo

UPANDE WA MWANAMKE
Asili yake ni kuwa ndani na kusimamia majukumu ya nyumbani

Asili ya Mwanamke,ni kutambua haki yake juu ya Mume wake na Haki ya Mume juu yake

Asili ya Mwanamke,ni kutambua mipaka ya majukumu yake

Asili ya Mwanamke ni kuwa na haya/aibu,na si macho pepepeeeeee..kodokodooo

Tuliyawacha haya na mengine meengi

tukalazimisha kugawana majukumu
Mwanaume umeajiriwa
Mwanamke ameajiriwa

Mnatoka pamoja asubuhi kwenda kazini
Nyumba mnamuachia Dada wa kazi

Hii dhambi....itatutafuna sana katika maisha yetu
Kama hujamfunza heshima na hofu ya Mungu, hata angekaa home na akawa anajifunika kuanzia utosini hadi unyayo, kama kichwani hana maadili, lazima utalizwa tu, utake usitake.
 
Wewe ni mwanamke halfu kama sio yule cariha sijuiiiiii

Yaani ni either mwanamke au shoga.Mawazo yako sio ya mwanaume aliyekamilika hamna popote mwanaume aliyekamilika ana comment km feminist
Hata Mimi Nimeshangaa

Yani watoto watatu Wote alaf anaongea as if Mwanamke kapoteza simu kumbe Kabeba Mimba Tatu Nje ya ndoa (Watoto 3)

Hata kama hatujui nyuma ya pazia ya huyo jamaa Lakini adhabu ya kumbebea Mimba 3 nje, Sio kabisa hatuwez kuifananisha lolote na chochote kile
 
Aiseee hii inauma sana
Maumivu ni makubwa mno hapo
Naona watu wengi wana comment kirahisi sana hasa wewe Jasmoni Tegga
Eti kitanda hakizai hio ni kipindi hio sio sasa

Hivi amewezaje kubeba Mimba tatu (3) zote hizo, Mbona ni nyingi sana ? ?
Kwan walikubaliana na huyo bossi wake wazae ama ? ?

Watoto wote hawa
Mtoto wa 1, mtoto wa 2 mpaka mtoto wa 3 Huyo Mwanamke ameenda mbali zaidi

NASHAURI
Jamaa Asione shida kuanza upya Amuachie Mungu, Atafute Binti Mwengine Maisha yaendelee
Mimi sijasema kuwa kitanda hakizai haramu. Wala sijafurahi kitendo hicho hata kidogo. Hakuna ninayemtetea kati ya mke mchepukaji, mume aliyemchepusha mke wa mwanaume mwenzake, na huyu mume ^mzembe.^

Huo ushauri haujakaa sawa. Anapaswa kuangalia ^alipojikwalilililililia^ siyo alipoangukia.
 
Ndicho kilichonitokeaga Mimi ....Nimelea Mtoto miaka mitatu nikidhani ni damu yangu kumbe holla tu .... Nilituliza akili nikahesabu miez tangu nikutane nae nikakuta ni miezi 8 na Siku 13 .... Hapo ndo nilipokazia kumbe nilikutana nae akiwa na ujauzito tayari .... But nilishasamehe ... Let's life goes on ....

KIUMBE KIITWACHO MWANAMKE KUWA NACHO MAKINI SANA
Wewe ni mwanaume sasa, achana na waoga hawa. Watu wanaogopa simba, eti wao wanaogopa kukaa na damu ya mtu mwingine!??? Pathetic & shame!!! Yaani ufanye kituko, maisha uyakatishe ilhali ushayajenga vizuri na umejipanga kimaisha!??? No way! Dawa ni kusamehe na kumove on kama unavyosema. Hii itakuongezea heshima kubwa kutoka kwa ^mke wenu!^
 
Hata Mimi Nimeshangaa

Yani watoto watatu Wote alaf anaongea as if Mwanamke kapoteza simu kumbe Kabeba Mimba Tatu Nje ya ndoa (Watoto 3)

Hata kama hatujui nyuma ya pazia ya huyo jamaa Lakini adhabu ya kumbebea Mimba 3 nje, Sio kabisa hatuwez kuifananisha lolote na chochote kile
Alichofanya mke ni cha kawaida sana acheni kupanic
 
Wewe ni mwanamke halfu kama sio yule cariha sijuiiiiii

Yaani ni either mwanamke au shoga.Mawazo yako sio ya mwanaume aliyekamilika hamna popote mwanaume aliyekamilika ana comment km feminist
Sikiliza, achana na porojo! My solution is almost the best. Kitendo ni kiovu, ila unatokaje!??? Wewe usitumie misuli ya gym kuwazia, use your brain. Come on! Umeishi na watu hawa siku zote umejiaminisha kuwa ni wako, wanakupenda unawapenda kama wanao, halafu ushindwe nini kuvumilia na kuwaprotect!??? Sasa mantiki ya uanaume nini??? You would be good for nothing kama ungechukua hatua isiyo na busara. Kwenye the most terrible situation ndipo unapotakiwa kuonesha unparalleled intelligence na wisdom. Sasa akili unatembea nayo ya nini!???
 
Mimi sijasema kuwa kitanda hakizai haramu. Wala sijafurahi kitendo hicho hata kidogo. Hakuna ninayemtetea kati ya mke mchepukaji, mume aliyemchepusha mke wa mwanaume mwenzake, na huyu mume ^mzembe.^

Huo ushauri haujakaa sawa. Anapaswa kuangalia ^alipojikwalilililililia^ siyo alipoangukia.
USHAURI haujakaa Sawa ?

Umetumia kipimo gani kujua ushauri haujakaa Sawa ?

Sikiliza kaka hembu Jaribu basi kuvaa hivyo viatu vya jamaa, unajua unarahisisha sana hili jambo
Ndani ya miaka 20 mfululizo Mwanamke Ana gongwa na bosi wake na kamzalia watoto, Hapa Kuna haja gani ya mimi niendelee kuishi na huyo jambazi ? ? Hayo aliyonifanyia yanatosha sana

Asemehe
Amuachie Mungu
Atafute kabinti mwingine aoe

Kama kwenu kifo ndio kinatenganisha ndoa Sawa endeleeni
Sisi kwetu tunaruhusiwa kuacha
 
Alichofanya mke ni cha kawaida sana acheni kupanic
Haha [emoji38] Kawaida ina maana nyingi: 1. Kawaida kwamba inafanywa na wengi au mara kwa mara na imezoeleka kuonekana ikitokea. 2. Kawaida kwamba siyo jambo zito.

Unaweza kusema mauaji ni ya kawaida kutokea, lakini si ya kawaida kwa vile ni mambo MAZITO & NYETI yasiyopaswa kufumbiwa macho kamwe.
 
Back
Top Bottom