Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tumeshamalizana nae pm, ulikuwa wapi wewe??Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo kiwatenganishe lakini moyo wangu unaona bado kunafursa ya kumpata bibiye huyo.
Natanguliza ombi la kuwa mchepuko wako hii ni kutokana na shetani aliyeniingia ni zaidi ya yule aliyemrubuni "hawa".
Nakaribisha michango yenu murua yakuboresha uhusiano huu mpya
Tunayo hatunayo?Ooh Kina mama hoyaa....
Takusemea...Wee haya
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Takusemea...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaenda wapi sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kukusemea kwa mama anguUnaenda wapi sasa
Umbea nusu tani loh...! Kwani yeye hajui mitala[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji375] [emoji375] [emoji375]Kukusemea kwa mama angu
Afu nimekumbuka,ile mambo inakuaje tena? Njoo pm tumalizaneUmbea nusu tani loh...! Kwani yeye hajui mitala[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji375] [emoji375] [emoji375]
Valentina nasikia unapendwa huko toka moyoni,so naomba uende ukatoe yako ya moyoni piaTakusemea...
Zangu ni za baridi sana mkuu x-zibit so ngoja niitumie hiyo chance kuopoa mtoto
Teh nshatoa...Valentina nasikia unapendwa huko toka moyoni,so naomba uende ukatoe yako ya moyoni pia
Pole siamini kama unaweza kuutamani mcharuko huoMabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!