Ndoa ya monicca inautesa moyo wangu

Ndoa ya monicca inautesa moyo wangu

Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo kiwatenganishe lakini moyo wangu unaona bado kunafursa ya kumpata bibiye huyo.
Natanguliza ombi la kuwa mchepuko wako hii ni kutokana na shetani aliyeniingia ni zaidi ya yule aliyemrubuni "hawa".
Nakaribisha michango yenu murua yakuboresha uhusiano huu mpya
Watu tumeshamalizana nae pm, ulikuwa wapi wewe??
Hahaahaaa, niko serious ila natania tu.
 
Subir aje jamaa yupo kifuan anamalizia 7
Hajui kunyamaza atasema tu
 
Mabibi na mabwana itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja niyaanike yale ya moyoni,ikiwa hata wiki moja hajamaliza toka moniccca autangazie ulimwengu kuwa tayari ameshaunganisha mwili wake mpaka kifo kiwatenganishe lakini moyo wangu unaona bado kunafursa ya kumpata bibiye huyo.
Natanguliza ombi la kuwa mchepuko wako hii ni kutokana na shetani aliyeniingia ni zaidi ya yule aliyemrubuni "hawa".
Nakaribisha michango yenu murua yakuboresha uhusiano huu mpya
Pole siamini kama unaweza kuutamani mcharuko huo
 
Back
Top Bottom