Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

Uyo kama alitumbuliwa magereza kwa vyeti feki basi aliyemsupport alikuwa hayati Mrema.

Habari za vyeti si hoja kwani aliishi na Hayati Mrema kama mke wa ndoa na huenda ni mchepuko wake kwa miaka mingi.
Hivi kuna ndoa ndani ya ndoa nyingine kweli?
Tena zote za kikatoliki? Huyu mwanamke ni mshezi kabisa!
 


Ndoa ya kwanza ya doreen
 
Kwa ambaye hajui taratibu za Kanisa Katoliki kuhusu mambo ya ndoa ndio anaweza akakubaliana na ulichoandika. Lakini, kwa mimi niliyefunga ndoa katika Kanisa Katoliki Parokia ya St. Justine, Bujora, Kisesa, Magu, Mwanza ninajua kuhusu mfumo thabiti wa kusajili ndoa kabla ya kufunga ndoa. Kama kuna ujanjaujanja basi ni kwenye Makanisa mengine, lakini Kanisa Moja Katoliki la Mitume hakuna kitu kama hicho. Muulize Spika Mstaafu Mzee Pius Msekwa kama alifunga ndoa na Anna Abdallah baada ya kufanya ujanjaujanja!
 
sasa mpaka hapo haujajua tu kazi yake ni nini?

Aliolewa na Mzee ili kumake sure things are safe maana Uzee una mambo mengi, wajuku wanaweza kuambia "hadithi" hadithi", amefanikiwa na Mzee amezikwa salama, bahati nzuri ni kipindi cha tozo, wahuni wanasema dili kampanda dili, its time for spinning now.
 
Huyu Doreen ni kweli aana ndoa na bwana Fred anaefanya DAWASA na ndoa yao haikuwahi kuvunjwa hadi anaolewa na Mrema. Wana mtoto mmoja wa Kike.
Huyu Bwana ni mpole sana na asiyependa kuongea mambo ya ndoa hii anaishi Mbezi Makabe.

Mbona mnapanga alafu mnasahau mlichokipanga,wachaga tamaa za Mali uwa za nini jamani kwani uwa mnaenda Nazo kaburini?
 
WANA ONGOZA KWA KUFOJI VYETI,
WANAONGOZA KWA NDOA KUVUNJIKA.
WANAONGOZA KWA UTAPELI, UJAMBAZI,KAFARA, DHURUMA, UPENDELEO SEHEMU ZA KAZI.
NDIO HAO HAO WANAONGOZA KWA KUTAJA MARA NYINGI JINA LA MUNGU, YESU KRISTO, MAMA MARIA,

#YA KWAO YAACHENI KWAO!
 
Awe bandia asiwe bandia ye ndo amekaa na yule mzee wakat hawez hata kujitawaza
Kama mngekuwa na uchungu mngeolewa nyie

Unajua wakat mwingine tuthamin watu wanaokaa na wazee wetu kwenye siku zao za mwisho hamjui wanapitia magumu kias gan
Wathaminiwe kwa kulipwa mshahara siyo urithi, mke wa mtu mumewe yupo hai hawezi kurithi kwa mume asiye wake kihalali kisheria, ndoa yake ni batili haramu kisheria non existing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…