Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mbona unachanganya ndugu yang, kwani mlalamikaji ni Mange Kimambi au mumewe?Cheti cha huyo tapeli na Mrema nimekuwekea hapo. Dada Mange alikiposti.
Embu soma kwa sauti hata jirani akusikie.
Na kwa kuwa unapenda facts hebu tuonyeshe hicho chako unachosema alitumia Doreen Kimbi.
Kama umepokea hii copy ya cheti cha ndoa kutoka kwa Mange Kimambi basi ukubali tu kwamb umepigwa kitu kizito kichwani.
Hivi vyeti feki siku hizi vinatengenezwa kwa malengo maalumu. Kwahiyo wewe usichukulie kama fact kitu ulichotumiwa na Kimambi maana yeye sio muhusika wa ndoa na wala hakuwepo kwenye ndoa.
Watu siku hizi wana uwezo wa ku copy mpaka muhuri na saini ya raisi wa Marekani ije kuwa cheti ambacho kinaweza tengenezwa kwa dakika 15 tu.