Hata kama nia ilikuwa mali kumbukeni kamsaidia sana Mrema siku zake za mwisho, ugonjwa na uzee, nyie mlikuwa wapi kupinga hiyo ndoa wakati Mrema akiwa hai? malizaneni kistaarabu, tumieni court itawapa haki zenu na yake sio kuchafuana
yule ni mwanamke mrembo na anahisia kama wengine ni mzuri wa sura na ukimuangalia vizuri anaonekana ni mtamu sana! Kwa hiyo mtoa mada ulitaka asipendwe? Changamoto alizopitia kwenye ndoa yake ya kwanza unazijua? Habar ya majina yake wewe ndio baba yake?hata mm nampenda akinikubalia nitafunga nae ndoa!
Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence? Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu? 👇 Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...
www.jamiiforums.com
Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu.
Doreen aliolewa April 2012, NDOA YA KATOLIKI na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata watoto wawili. Cheti cha ndoa kipo hapo chini na kimesajiliwa RITA
Doreen na Fredrick Mushi Hawakupata divorce na kama tujuhavyo ndoa za KATOLIKI ni mpaka kifo kitenganishe.
Aliolewa tena na Mrema kwa jina la uongo ili asiwekewe pingamizina ndio kama mnakumbuka zile hekaheka za kuweka watu wa uongo kujifanya Doreen na kuvaa Miwani kama jambazi siku ya harusi na Mrema.
In summary Doreen
Kwa ndoa yake na Mrema alitumia jina kabisa lingine la uongo Doris Mkandala.
Uamihaji na Magereza aliforge vyeti alikuwa anajiita Doreen Mkandala na alitumbuliwa kwa vyeti feki kipindi cha Magufuli.
Ndoa ya kwanza alitumia Doreen Kimbi ambalo ndio linajulikana kila sehemu.
Na pia kuna tetesi alishawahi kuolewa tena huko Mbeya
Huyu Doreen asije akawa kwenye kigroup cha organised criminals, police wachunguze huyu mtu.
Kanisa katoliki itabidi liwajibike ni aibu kubwa. Police waingilie kati wajue huyu Doreen ni nani has before hajatafuta next victim.
Wapi nimesema kuwa nina uhakika? Kama nyie mlikuwa na uhakika kuwa alikuwa anamtesa mngempeleka ustawi wa jamii au mahakamani. Hilo la kujutia ndoa ni la kawaida tu. Sio uthibitisho wa kuteswa. Huo unaoona kuwa ni ushahidi wako hauna uzito maana haujathibitisha kuwa mjane wa Mrema ndio huyo unayemtuhumu kuwa aliwahi kuolewa kabla. Mpaka sasa ulichoweka ni umbea tu.
yule ni mwanamke mrembo na anahisia kama wengine ni mzuri wa sura na ukimuangalia vizuri anaonekana ni mtamu sana! Kwa hiyo mtoa mada ulitaka asipendwe? Changamoto alizopitia kwenye ndoa yake ya kwanza unazijua? Habar ya majina yake wewe ndio baba yake?hata mm nampenda akinikubalia nitafunga mfuko wako unasema
yule ni mwanamke mrembo na anahisia kama wengine ni mzuri wa sura na ukimuangalia vizuri anaonekana ni mtamu sana! Kwa hiyo mtoa mada ulitaka asipendwe? Changamoto alizopitia kwenye ndoa yake ya kwanza unazijua? Habar ya majina yake wewe ndio baba yake?hata mm nampenda akinikubalia nitafunga nae ndoa!
Mtu kaolewa huko nyuma wakashindwana bado ni mke wa mtu tu kisa hawajatengana mahakamani???? Hapana hii sio sawa umeoa mtu mmeshindwana mnaachana ndoa sio vita.isije mkaja kuuana bure kisa tu mpaka kifo kiwatenganishe.muacheni doris wa watu mpeni hiyo mirathi.mbona kipindi mrema yupo hai hamkusema kama ni mke wa mtu mwingine.Acheni tamaaa familia ya marehemu
Itabidi muachane kwa kufuata tarat8bu xa kuvunja mkataba wenu mlioingia msikitini au kanisani. Ila kwa kanisa katoliki sahau kuhusu kukubaliwa na kupewa hati ya talaka. Hiyo contract ni until death not otherwise...
Wapi nimesema kuwa nina uhakika? Kama nyie mlikuwa na uhakika kuwa alikuwa anamtesa mngempeleka ustawi wa jamii au mahakamani. Hilo la kujutia ndoa ni la kawaida tu. Sio uthibitisho wa kuteswa. Huo unaoona kuwa ni ushahidi wako hauna uzito maana haujathibitisha kuwa mjane wa Mrema ndio huyo unayemtuhumu kuwa aliwahi kuolewa kabla. Mpaka sasa ulichoweka ni umbea tu.
Ndoa imetangazwa kila mahali na picha ya Doreen zimewekwa wazi. Huyo Fredrick alishindwa nini kwenda Mahakamani kumdai huyo unaesema alikuwa mke wake? Kwa nini hakwenda hata kwenye kanisa walikofungia ndoa na kuwaambia kuwa huyo waliyemfungisha ndoa alikuwa mke wake? Mtu amekufa ndio mnaleta za kuleta.
Na unaonekana una chuki binafsi na huyu Doreen. Tangu lini umesikia mali ya marehemu anarithi mke ambae alimuacha au aliishafariki? Mali zote za marehemu alizokuta Doreen ni haki yake pamoja na watoto wote wa marehemu. Mngekuwa mnampenda sana marehemu mngemshauri waingie na mkataba wa prenup na Doreen kabla ya ndoa. Au aandike kabisa will yake mapema.
Kwa hivi ilivyo imekula kwenu. Na msipoangalia mtafunguliwa mashtaka ya kumchafua Doreen.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.