- Thread starter
- #61
Gazeti la Raia mwema ndilo lilie anzisha huu mjadala Doreen ni mke wa mtu.Kama alijitokeza ni kwanini hatukuwahi kusikia, kuona wala kusoma taarifa zake kama tunavyozisikia, na kuzisoma leo baada ya Mrema kufariki?
Watanzania sio wajinga, mbumbumbu au watoto wadogo kama mnavyofikiria, mkileta thread au taarifa za aina hii mjiandae na majibu yanayoeleweka. Sio mimi nikuulize swali na wewe uniulize swali, badala ya kujibu kwanza swali.
This is nonsense.
Fredrick Mushi alithitisha Doreen ni mke wake kwenye hilo gazeti (kalitafute online)
Mtabishana mpaka Kiama ila mwisho wa siku ukweli utajulikana, mahakama na kanisa itachekesha pumba na mchele. Na mengi yatajulikana maana mahakamani ni open court
Hii issue iwe fundisho, utapeli sio tija, fanyeni kazi. Na unawezaje kuwa mjinga kwenda kutapeli familia ya mtu high profile kama Mrema?