Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama Doreen alimpenda sana Mrema kwanini hakufanya the right thing.Wewe ni nani kwenye familiya ya marehemu? So marehemu hakuyajuwa haya yote?
Nyinyi mnaoteseka ndo mmefoji hayo ma barua, muoaji ashafariki wenda alijua zaidi yako lakini akamuoa basi mmebaki mnateseka anyway!
Mali ndo zinawatesa tafuteni za kwenu ukite wewe hata sio member of the family 🤣
Mushi umemuandika wewe kwenye hicho kikaratasi ambacho Wala siyo cheti cha ndoa. Cheti cha ndoa hutolewa na serikali ya jamhuri wa nSheria inatambua vipi mke/mjane halali?
Na je bwana Fredrick Mushi akifa pia Doreen atakuwa mjane?
Watu wanaolewa mara 5 ndo wanabahatika ndoa salama yeye anashangaa kuwahi kuolewa mara Moja.😳ndo wanaokufa vibaya Kwa mioyo Yao ya kwannMajasho namuuliza swali ananijibu kwa kuuliza swali. Naona mleta mada ni kanjanja 😂😂🤣🤣
Wewe Doreen utaangaika sana kuleta watu wakukutetea ila ukweli utajulikana mahakamani.Mushi umemuandika wewe kwenye hicho kikaratasi ambacho Wala siyo cheti cha ndoa. Cheti cha ndoa hutolewa na serikali ya jamhuri wa n
Tatizo kwanini adanganye? Yaani anadanganya mpaka kanisa KatolikiWatu wanaolewa mara 5 ndo wanabahatika ndoa salama yeye anashangaa kuwahi kuolewa mara Moja.😳ndo wanaokufa vibaya Kwa mioyo Yao ya kwann
Hapati kitu imekula kwake. Alishindwa nini kuomba talaka ?Na inaonekana ni mchepuko wa Mrema tokea siku nyingi. Hapa hapati hata kijiko.Mtu kaolewa huko nyuma wakashindwana bado ni mke wa mtu tu kisa hawajatengana mahakamani???? Hapana hii sio sawa umeoa mtu mmeshindwana mnaachana ndoa sio vita.isije mkaja kuuana bure kisa tu mpaka kifo kiwatenganishe.muacheni doris wa watu mpeni hiyo mirathi.mbona kipindi mrema yupo hai hamkusema kama ni mke wa mtu mwingine.Acheni tamaaa familia ya marehemu
It seems ni mwanafamilia anatafuta public sympath.Mushi umemuandika wewe kwenye hicho kikaratasi ambacho Wala siyo cheti cha ndoa. Cheti cha ndoa hutolewa na serikali ya jamhuri wa n
Aje kujibu umbea? Kama unaona hizo shutuma ni nzito na ni criminal offense mahali pake ni mahakamani na sio kwenye Jukwaa la Siasa. Hautafuti haki bali unataka kumchafua tu huyo Doreen. Ingekuwa ni haki unatafuta usingejificha nyuma ya jina bandia. Ungeweka jina lako na sura yako humu na kwenye media nyingine ungeaminika zaidi.Ehh sasa si umuombe Doreen aje kukanusha hizi report. Shida iko wapi anapenda media na anajua kuzitumia
Aseme alitangaza ndoa wapi, jina lipi na cheti chake cha ndoa jina linasomekaje.
Ndugu hizi ni shustuma nzito sana na ni pia criminal offence.
Unapaswa kuelewa authenticity ya jambo hupatikana mahakamani, halafu haya mambo kwa uelewa wangu, ni too private sana, na hakuna mtu anaweza kuyajua pasipo kuwa insider- Declaration of interest ni muhimu sana.Wewe Doreen utaangaika sana kuleta watu wakukutetea ila ukweli utajulikana mahakamani.
Tena ungekuwa na akili ungejiuliza information mpaka za immigration zinatoka wapi.
Unajua malipo ni hapa hapa duniani?
Alafu nikusaidie nenda RITA na hiyo registration number ya cheti utajionea maajabu.
Njia ya jizi fupi sana
Kazoea kufoji. Ikute na huko alifoji.Kwamba huyo mwanamke anayeonekana hapo kazaliwa mwaka 1984, mmmh!!
Huyo mwanamke kwa haraka haraka sidhan kana ana chini ya miaka 50, ni mjinga pekee anayeweza kuamini kazaliwa 1984Kwamba huyo mwanamke anayeonekana hapo kazaliwa mwaka 1984, mmmh!!
Hapa kuna maswali mengi sana ya msingi.Bila shaka wewe ni mtoto wa mke wa kwanza wa mrema.
Ehee mmepanga kumfanyaje huyo mjane?
Njaa mzigo..Hapa kuna maswali mengi sana ya msingi.
Hiyo document yenye mwandiko wa mkono ameitoa wapi?
Document yenye mwandiko wa mkono ilipaswa kuandikwa kabla ya ndoa, sasa kama iliandikwa kabla ya ndoa, namba ya ndoa na Padre specific atakayeifungisha hiyo ndoa walijuaje?
Kanisa Katoliki lina fomu maalumu ya kujaza taarifa maalumu za watarajiwa wa ndoa, ikwapi?
Kwann majina ya padre yanatofautiana?, ina maanisha aliyeiandika hama uhakika na majina halisi ya padre licha ya uzoefu?
Lengo ni nini hasa?