Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kaolewa huko nyuma wakashindwana bado ni mke wa mtu tu kisa hawajatengana mahakamani???? Hapana hii sio sawa umeoa mtu mmeshindwana mnaachana ndoa sio vita.isije mkaja kuuana bure kisa tu mpaka kifo kiwatenganishe.muacheni doris wa watu mpeni hiyo mirathi.mbona kipindi mrema yupo hai hamkusema kama ni mke wa mtu mwingine.Acheni tamaaa familia ya marehemu
Dada anayo haki. Ni Chagua la baba
Sheria haiko sawa. Anastahili kiasi kidogoNi chaguo la Baba Kwa kuvunja sheria lakini
Sheria haiko sawa. Anastahili kiasi kidogo
Demi dada yangu.Dada anayo haki. Ni Chagua la baba
Mzee alimpenda na kumchagua yeye. Hilo linatoshaDemi dada yangu.
Sheria zinatungwa kwa kuangalia usawa na haki ya kila mtu kwenye jamii. Haimpi mtu favour kwasababu ni mwanamke au mwanaume.
Ulaghai hufikishi watu mbali, hamna short cut kwenye maisha.
Dada unachoshindwa kuelewa hapa ni sheria.Mzee alimpenda na kumchagua yeye. Hilo linatosha
Ndio maana nimesema sheria haipo sawa. Najua kuna makosa hapo.Dada unachoshindwa kuelewa hapa ni sheria.
Wewe kama demi unauwezo wa kufanya maamuzi yoyote ata kujiua.. lakini ukinywa sumu na usipokufa sheria unaijua.
So bi Dada nenda kaolewe kama Doreen kwa majina fekero uone itakachokikuta.
Jiongeze
Ndoa ni mkataba na inavunjika kwa kuvunja mkataba mahakamani!! Hapo umeelewa?Mtu kaolewa huko nyuma wakashindwana bado ni mke wa mtu tu kisa hawajatengana mahakamani???? Hapana hii sio sawa umeoa mtu mmeshindwana mnaachana ndoa sio vita.isije mkaja kuuana bure kisa tu mpaka kifo kiwatenganishe.muacheni doris wa watu mpeni hiyo mirathi.mbona kipindi mrema yupo hai hamkusema kama ni mke wa mtu mwingine.Acheni tamaaa familia ya marehemu
Mleta mada mwenyew ameshindwa hata kuitetea mada yake, sasa hayo mambo ya kuolewa zaidi ya mara 1 atayajulia wapi!!Watu wanaolewa mara 5 ndo wanabahatika ndoa salama yeye anashangaa kuwahi kuolewa mara Moja.😳ndo wanaokufa vibaya Kwa mioyo Yao ya kwann
hahahaKuna kundi la makahaba wenzake humu JF wanamtetea bila aibu. Golddiggers united.
Inaitwa Genda Igeruke (Iende Irudi) Go And ReturnKazi imeanza.
Mirathi za wazee zinazua balaa.. ya Mengi haijaisha imeibuka ya Mrema..
Angeenda basi kupinga hiyo ndoa yake na Mrema. Sasa kakaa kimya hadi Mrema anaondoka anamaanisha nini wakati Doreen ndio yuko kwenye mikono salama huko kwa Mrema?Ulisoma gazeti la Raia mwema lililo anzisha hii story?
Mbona alitokea na ali confirm alikuwa mke wake.
Litafute