Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi


Kanumba alishaondoka na Bongo movie yake_unataka kumpa moyo kwa kazi yake ipi tena..!? Labda awe danga
 
Reactions: T11
Aisee hii ndoa imeingia mushkelI mapema sana kama xtrail
 
Reactions: T11
Ndoa zitaanguka kama zote. Sembe limetaitiwa haliingii
 
Mapenzi bila pesa kwa sasa hayadumu huyu dem kuondoka ni dalili tosha jamaa kashachoka sana kimaisha
So unataka kusema ndoa za sasa hivi siyo ktk shida na raha?!! Ni wakati wa raha pekee yake tu?!!
Maisha yana changomoto nyingi. Hata hata anayopitia Chidi,yeye si wa kwanza wako wengi tu wamepitia hata na kuvuka salama. Ila wengine ndio wakasambaratika kama tunavyo muona Dada yetu.
Kikubwa ni upendo wa kweli,kujitambua,kumtanguliza Mungu na mwisho kabisa ni aina ya marafiki wanao kuzungukà. Maana they can make you or break you.
 
Wavaa kobazi wana shida na raha?
 
Ila kuoa mtihani. Mda mwingine naangalia kipato changu alafu nikitaka kuoa naona kama nitamtesa tu mtoto wa watu ashindie maharage ya njano na kumlimisha tuta la matembele nyumbani. Kipato kidogo wanawake wenyewe overhead cost za matunzo zimekua juu sana karne hii. Ili mkeo apendeze,avutie na akupende lazma mwanaume uwe na hela wakati wote Na sio kujifanya mlokole au muislam sana wakati mfukoni empty. Kilichobaki MABAHARIA kuamia chaputa fc.
 
So kwako ww n bora alivyoachika au bila kujua kweny maisha kila k2 kna mwisho hta sanaa inamwisho pia
 
Bora yeye kuliko waliokuwa mashoga
 
Wewe ni mpenda sifa acha kumponda mwenzio kwa hiyo ulitaka asikukaribishe? Eti diesel hizo SA wanauza rand buku tu na wewe unajionaaaa mxxxm
 
Sidhani kama kuna msanii yeyote hasa wa bongo movies kama amewahi kudumu kwenye ndoa mpaka kifo kiwatenganishe. Binafsi nishawazoea. Kesho na kesho kutwa utasikia kaolewa na Dogo janja halafu baada ya siku 19 utasikia wameachana!
Wastara na the late Sajuki.
 
Na wababa wenye makelele na visa visivokauka, huwa wanafanana sana na watoto zao. In case the man has gone, he leaves you with the kids who look exactly like him.
.
Better not than a stupid word "I wish"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…