ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,750
- 1,864
Hii ndoa imemrudisha nyuma sana Shamsa Ford kikazi. She was doing very well with her career na alikuwa na kiu ya kweli ya kufika mbali lakini tangu aolewe naona akawa doro.
Kwa sasa vile yuko huru, afocus tu kwenye kazi yake na aende mbele kwa mbele. Kwanza ni motivation nzuri kwake ya kukimbia kwa spidi zote vile now she calls the shots all by herself once again.
All the best kwake. Muhimu ameshatoa gundu.
Kanumba alishaondoka na Bongo movie yake_unataka kumpa moyo kwa kazi yake ipi tena..!? Labda awe danga