Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Hii ndoa imemrudisha nyuma sana Shamsa Ford kikazi. She was doing very well with her career na alikuwa na kiu ya kweli ya kufika mbali lakini tangu aolewe naona akawa doro.

Kwa sasa vile yuko huru, afocus tu kwenye kazi yake na aende mbele kwa mbele. Kwanza ni motivation nzuri kwake ya kukimbia kwa spidi zote vile now she calls the shots all by herself once again.

All the best kwake. Muhimu ameshatoa gundu.

Kanumba alishaondoka na Bongo movie yake_unataka kumpa moyo kwa kazi yake ipi tena..!? Labda awe danga
 
  • Thanks
Reactions: T11
Aisee hii ndoa imeingia mushkelI mapema sana kama xtrail
 
  • Thanks
Reactions: T11
Ndoa zitaanguka kama zote. Sembe limetaitiwa haliingii
 
Mapenzi bila pesa kwa sasa hayadumu huyu dem kuondoka ni dalili tosha jamaa kashachoka sana kimaisha
So unataka kusema ndoa za sasa hivi siyo ktk shida na raha?!! Ni wakati wa raha pekee yake tu?!!
Maisha yana changomoto nyingi. Hata hata anayopitia Chidi,yeye si wa kwanza wako wengi tu wamepitia hata na kuvuka salama. Ila wengine ndio wakasambaratika kama tunavyo muona Dada yetu.
Kikubwa ni upendo wa kweli,kujitambua,kumtanguliza Mungu na mwisho kabisa ni aina ya marafiki wanao kuzungukà. Maana they can make you or break you.
 
Wavaa kobazi wana shida na raha?
 
Ila kuoa mtihani. Mda mwingine naangalia kipato changu alafu nikitaka kuoa naona kama nitamtesa tu mtoto wa watu ashindie maharage ya njano na kumlimisha tuta la matembele nyumbani. Kipato kidogo wanawake wenyewe overhead cost za matunzo zimekua juu sana karne hii. Ili mkeo apendeze,avutie na akupende lazma mwanaume uwe na hela wakati wote Na sio kujifanya mlokole au muislam sana wakati mfukoni empty. Kilichobaki MABAHARIA kuamia chaputa fc.
 
Hii ndoa imemrudisha nyuma sana Shamsa Ford kikazi. She was doing very well with her career na alikuwa na kiu ya kweli ya kufika mbali lakini tangu aolewe naona akawa doro.

Kwa sasa vile yuko huru, afocus tu kwenye kazi yake na aende mbele kwa mbele. Kwanza ni motivation nzuri kwake ya kukimbia kwa spidi zote vile now she calls the shots all by herself once again.

All the best kwake. Muhimu ameshatoa gundu.
So kwako ww n bora alivyoachika au bila kujua kweny maisha kila k2 kna mwisho hta sanaa inamwisho pia
 
[emoji2][emoji2] kamchuna kwa lipi?Huyo chid alimjengea yapo room moja(jibu ni hapana)
Uliwahi kuona labda kampeleka japo Dubai demu akafanya expnsv shopping (jibu ni hapana)
Ukiwa na mwanaume mwenye hela lazima kuna vitu vitakuwa havijifichi esp kwa watu wa karibu mabadiliko yangeonekana tu.Kubali kataa shamsa kaolewa na chidy kipindi WESE lishaanza kukata.
Unahisi anavyojichimbiaga huko China anakifanya nn? Kazi kubwa alobakia nayo ndo hiyo kutembeza watu kwenye machimbo na kukimbia madeni.
Bora yeye kuliko waliokuwa mashoga
 
Hilo jina tu huyu wa kukamata vinuka mkojo tu,siku nilikatiza pale kwa duka lake Meridian nikamkuta,ufala mwingi sana "ooh karibu kaka kwa chid mapenzi,nikamuuliza unataka utobolewe?aah amna bro sema tu pamba tunazo.akiangalia nilikua nimepiga diesel jeans ngumu,Abercrombie t shirt,chini nna adidas nba sign.vyote bongo hupati akanywea.
Sema nikachukua nguo kadhaa za kubadili maana kurudi hm soo.
Sasa Huyo ndio shamsa kamfanya mume.
Wewe ni mpenda sifa acha kumponda mwenzio kwa hiyo ulitaka asikukaribishe? Eti diesel hizo SA wanauza rand buku tu na wewe unajionaaaa mxxxm
 
Sidhani kama kuna msanii yeyote hasa wa bongo movies kama amewahi kudumu kwenye ndoa mpaka kifo kiwatenganishe. Binafsi nishawazoea. Kesho na kesho kutwa utasikia kaolewa na Dogo janja halafu baada ya siku 19 utasikia wameachana!
Wastara na the late Sajuki.
 
Hata angezaa people would still find fault why amezaa.

Am speaking as a woman, huenda anapoingia ndani ya ndoa her intuition spoke to her to chill out na asikimbilie kuzaa. Either that or simply hakushika ujauzito.

Wanasemaga once bitten, twice shy. Picture being single again, stuck with another child.
Na wababa wenye makelele na visa visivokauka, huwa wanafanana sana na watoto zao. In case the man has gone, he leaves you with the kids who look exactly like him.
.
Better not than a stupid word "I wish"
 
Back
Top Bottom